Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,375
- 2,811
kampuni ya Meta inakaribiwa na mashtaka juu ya kutengeneza Miwani yenye kuondoa nguo zako zote na kubaki mtupu.
Miwani ya Meta Ray ban glasses ๐ถ๏ธ ambayo Ina Teknolojia ya Ai imekumbwa na kashfa kubwa imekua ikirekodi mambo mengi ya Siri kwa kuwaondoa watu nguo zao na kubaki uchi (naked) pamoja na kuiba taarifa Muhimu za kibenki, kuona watu wakifanya ngono nk.
Ambapo watu wengi wanasema unapoipa nafasi Ai ya Meta kwa kusema "Hey Meta" basi yenyewe imekua ikifanya kazi ya Ajabu zaidi ya unavyofikiria, Nyakati nyingine inaweza kutumika bila hata kuwa na Bando yenyewe inajipa muongozo na kufanya mambo ya Ajabu.
Unaweza weka mahali basi yenyewe imekua ikirekodi taarifa bila muhusika kujua wakati mwingine inakuchukua video ukiwa uchi kabisa au mnashiriki tendo la ndoa na Mweza
wako.