Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama.
Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋
WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱
Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2× speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄.
TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile:
🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote.
Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako.
Tofauti na privacy glass ya...
Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo.
Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! 👀 Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.”
marke
Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀
Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
bongo
bongotech255
breakthrough
donald trump
marekani
rais wa marekani
space
tech explore page
tech innovation
tech trending
technews
teknolojia ni yetu sote
🇺🇸 “the moon is ours
Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋.
Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja.
Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye “Photo Stack” moja. Badala ya...
Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako 👋.
YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv.
Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View...
🍎 Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni 👊.
Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. 🤯📲📲
Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO!
#4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. 📶
⚠️ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥
Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima.
Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? 🍿📱
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. 😳.
Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google.
🌐 Lakini kuna jambo muhimu:
Hii...
Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡
Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je 🚀 Nini kipya kwenye Beta 9 ?
🔄 Fix ya reboot loop...
Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱
Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern.
Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
Wanasema pesa ngumu 😃 hakuna Kuonga Aiseeh!!!
YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. 📈
Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa “Apple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🤯
Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.