Kweli muda unakimbia sana 🕦, kutoka Kuwa movie mpaka maisha Halisi watu watakua na uwezo wa kufunga ndoa na maroboti wa Ai, na Roboti zitakua na uwezo wa kubeba Mimba.
China iko kwenye mpango wa kutengeneza roboti mwenye uwezo mkubwa wa kuweza kuzaa binadamu. Tumbo la uzazi la bandia...
🗯️ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025.
🚀 Unajua kwanini??
🔰 Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea...
🗯️ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI.
🗯️ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile.
Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena.
🚀 Ziwa Natroni...
Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.
Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla.
Hakikisha unazingatia mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.