๐Ÿ”“๐Ÿ”ฅ ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—œ? ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ฏ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
cbda7cba7a169868337ba6cc32c98be2.jpg

๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€
๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€
๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ

Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone.

Dopamine 3.0 imeleta jailbreak support kwa iOS 26.0 na 26.0.1 kwenye baadhi ya iPhone zenye A12/A13!. iOS 26 ilikuwa imekaa kwa takribani siku 326 bila public jailbreak, kabla ya Dopamine 3.0 kuleta support hiyo

Kwa kifupi tu, jailbreak ni njia ya kuondoa baadhi ya vizuizi vya Apple kwenye iOS ili mfumo uwe na uwezo wa kuruhusu marekebisho na software ambazo kwa kawaida haziruhusiwi na Apple.

Hii ina maana kwamba baadhi ya watumiaji sasa wanaweza kufungua uwezo ambao Apple huwa imeuficha ndani ya iOS. ๐Ÿ‘€โšก

Je, bado kuna sababu ya kufanya Jailbreak mwaka 2026? ๐Ÿค”๐Ÿ‘‡
 
Duniani binadamu asichoweza ni kutengeneza roho tu mengine yooooteee yanawezekana
 
View attachment 3646532

๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€
๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€
๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ

Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone.

Dopamine 3.0 imeleta jailbreak support kwa iOS 26.0 na 26.0.1 kwenye baadhi ya iPhone zenye A12/A13!. iOS 26 ilikuwa imekaa kwa takribani siku 326 bila public jailbreak, kabla ya Dopamine 3.0 kuleta support hiyo

Kwa kifupi tu, jailbreak ni njia ya kuondoa baadhi ya vizuizi vya Apple kwenye iOS ili mfumo uwe na uwezo wa kuruhusu marekebisho na software ambazo kwa kawaida haziruhusiwi na Apple.

Hii ina maana kwamba baadhi ya watumiaji sasa wanaweza kufungua uwezo ambao Apple huwa imeuficha ndani ya iOS. ๐Ÿ‘€โšก

Je, bado kuna sababu ya kufanya Jailbreak mwaka 2026? ๐Ÿค”๐Ÿ‘‡
Niliacha kutumia Iphone baada ya kushindwa ku jailbreak simu yangu.
Iphone bila jailbreak na android bila root ni sawa na mwanamke wa FGM, siwezi kabisa kutumia.

Safi sana na pongezi nyingi kwake huyo developer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom