๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,796
1_20260501_115243_0000.png

Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.

Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana.

2_20260501_115243_0001.png
3_20260501_115243_0002.png

Upande wa video inatoa video zenye ubora bila hata kuhitaji usaidizi wowote Toka vifaa vingine vya Kamera, Yenyewe tu video ukichukua inatoa kitu chenye ubora ni nzuri kwa wale wazee photographer.

Betri lake ni balaa 6,600mah ikiwa na 100W chaji ikiwa na Teknolojia Ya ZEISS camera sensor yenye kutoa picha nzuri kuendana na Mazingira.

5_20260501_115244_0004.png
6_20260501_115244_0005.png

Ila zote zinatumia processor za Snapdragon 8 Elite / Gen 5 Processor nzuri kwenye Games uhitaji kuwa na barafu kupooza simu yako ๐Ÿ˜‰.

7_20260501_115244_0006.png
8_20260501_115244_0007.png

Unasemaje bingwa nani Samsung au Vivo kwenye Kamera ?
 
View attachment 3582355

Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.

Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana.

View attachment 3582358View attachment 3582359

Upande wa video inatoa video zenye ubora bila hata kuhitaji usaidizi wowote Toka vifaa vingine vya Kamera, Yenyewe tu video ukichukua inatoa kitu chenye ubora ni nzuri kwa wale wazee photographer.

Betri lake ni balaa 6,600mah ikiwa na 100W chaji ikiwa na Teknolojia Ya ZEISS camera sensor yenye kutoa picha nzuri kuendana na Mazingira.

View attachment 3582360View attachment 3582361

Ila zote zinatumia processor za Snapdragon 8 Elite / Gen 5 Processor nzuri kwenye Games uhitaji kuwa na barafu kupooza simu yako ๐Ÿ˜‰.

View attachment 3582362View attachment 3582363

Unasemaje bingwa nani Samsung au Vivo kwenye Kamera ?
Xi Jinping Mi mi
 
Design ya camera ni ya hovyo.

Pia VIVO unaipata na Android 16 na haitakuja kupata support yoyote baada ya hii. Wakati Samsung midrange mfano A56 unapata support mpaka 5.

Means bado utakua na simu up to date kwa miaka 5 mbele. Hii vivo mwakani tu inakua imeachwa in terms of software.

Kwa wabahili tukiwa tunanunua simu tuzingatie vitu kama hivi ili tuendelee kuonekana tunaenda na wakati bila mfuko kutoboka kila mwaka.
 
View attachment 3582355

Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.

Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana.

View attachment 3582358View attachment 3582359

Upande wa video inatoa video zenye ubora bila hata kuhitaji usaidizi wowote Toka vifaa vingine vya Kamera, Yenyewe tu video ukichukua inatoa kitu chenye ubora ni nzuri kwa wale wazee photographer.

Betri lake ni balaa 6,600mah ikiwa na 100W chaji ikiwa na Teknolojia Ya ZEISS camera sensor yenye kutoa picha nzuri kuendana na Mazingira.

View attachment 3582360View attachment 3582361

Ila zote zinatumia processor za Snapdragon 8 Elite / Gen 5 Processor nzuri kwenye Games uhitaji kuwa na barafu kupooza simu yako .

View attachment 3582362View attachment 3582363

Unasemaje bingwa nani Samsung au Vivo kwenye Kamera ?
only samsung !
 
Design ya camera ni ya hovyo.

Pia VIVO unaipata na Android 16 na haitakuja kupata support yoyote baada ya hii. Wakati Samsung midrange mfano A56 unapata support mpaka 5.

Means bado utakua na simu up to date kwa miaka 5 mbele. Hii vivo mwakani tu inakua imeachwa in terms of software.

Kwa wabahili tukiwa tunanunua simu tuzingatie vitu kama hivi ili tuendelee kuonekana tunaenda na wakati bila mfuko kutoboka kila mwaka.
Nani kakufanganya boss hii Vivo unapata support ndani ya miaka 7 ya software upgrade na update ya Security patch system ๐Ÿ˜ acha kabisa
 
Kwenye flagship ni Apple Vs Samsung, na Huawei Ila ndio kabakia soko la china. Hao wengine mauzo Yao bado Sana kushindana na hao mabwana wakubwa.

Kwenye Android Samsung ana zaidi ya 50% marketshare ya flagship.

Back
Top Bottom