Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026.
Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa kufanya mambo mengi ndani ya muda mfupi kama vile;
โ๏ธ Uwezo wa kununua Bando kwa haraka zaidi hata kama una Bando ,/ intaneti kwenye simu yako.
๐ Uwezo wa kufuatilia matumizi ya bando lako live.
๐ Unaweza kuangalia kama intaneti ya Fiber imefika mtaani kwenu au lah ndani ya app.
๐ Jipatie zawadi mbalimbali kwenye michezo kibao ndani ya App.
๐ฑ Angalia salio la simu yako ya mkopo na lipia Kila siku.
๐ง Furahia Gen Yas Talk kupitia Podcast, Entertainment kibao na mambo mengi zaidi.
Kubwa zaidi unaweza kupata msaada bila kwenda Dukani Hakikisha unapakua app ya Yas Tanzania ili uweze kufurahia maisha ya kidigitali ๐.