Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,791
Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote.

Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes & customization), Security & privacy, feature mbalimbali mpya pamoja na Betri wameboresha haiishi chaji Haraka.

Kama unatumia Samsung tambua kuwa toleo jipya la Android 17 litaweza kuja kwenye simu yako Kuanzia Mwezi Julai, Agosti pamoja na Septemba ila kwa upande wa TECNO ni kuanzia Septemba na Novemba mwaka huu 2026.

Hivyo watumiaji pekee wa Google Pixel ndo watu wa kwanza kupokea huu Mfumo kuanzia Google Pixel 6 Series mpaka kufikia Google Pixel 10 Series.

Ebu tuambie simu yako imeshapokea Mfumo mpya au bado bado 😅..
 

Attachments

  • Tecno 17_20260619_114202_0000.png
    Tecno 17_20260619_114202_0000.png
    532.4 KB · Views: 17
Baba napokea simu Mpya kabla mwaka huu kuisha. Wote Tuseme Amina.
 
Wale Harmony OS watapokea nini?😁😁😁😁
🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom