TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
1_20260808_220440_0000.png

TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞

Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥

2_20260808_220440_0001.png
3_20260808_220440_0002.png

Na hii ni hatua nyingine ya TikTok kuifanya app iwe zaidi ya sehemu ya kuangalia videos—unaweza ku-chat, kushare content na sasa kupiga simu! 😳

4_20260808_220440_0003.png

⚠️ kumbuka Kwa sasa feature hii bado inaonekana kuwa kwenye testing/rollout ya hatua kwa hatua, hivyo huenda usiione kwenye akaunti yako bado.

Je! Ni kweli TikTok anaweza kushindana na WhatsApp? 🤔📞
 
View attachment 3646570

TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞

Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥

View attachment 3646571View attachment 3646572

Na hii ni hatua nyingine ya TikTok kuifanya app iwe zaidi ya sehemu ya kuangalia videos—unaweza ku-chat, kushare content na sasa kupiga simu! 😳

View attachment 3646573

⚠️ kumbuka Kwa sasa feature hii bado inaonekana kuwa kwenye testing/rollout ya hatua kwa hatua, hivyo huenda usiione kwenye akaunti yako bado.

Je! Ni kweli TikTok anaweza kushindana na WhatsApp? 🤔📞
Yes walitangaza kuongeza features baadhi miezi kadhaa hapo nyuma ikiwemo na hii ila kwenye beta version kama umejoin..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom