Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
๐ค Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant utafunguliwa Gemini.
๐ฅ Gemini anakuja na uwezo mkubwa zaidi wa AI ikiwemo:
โ Kujibu maswali kwa akili zaidi.
โ Kusaidia kuandika, kutafsiri na kufanya utafiti.
โ Kufanya mazungumzo ya kawaida kama binadamu. โ Kuendelea kufanya kazi za kila siku kama kuweka alarm, timer na mengine mengi.
๐ Mabadiliko haya yataanza kutolewa rasmi kuanzia Septemba 4, 2026 kwa simu zinazokidhi vigezo, na yatafika kwa watumiaji hatua kwa hatua.
๐ฌ Je, wewe ungemchagua nani? Google Assistant au Gemini? Tuambie maoni yako kwenye c
omments. ๐