Google kiboko: Imeleta feature inayokupa msaada bila kumwambia chochote

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,355
Reaction score
2,768
1_20260429_121405_0000.png

Hivi utajisikiaje pale ambapo simu yako inakupa msaada bila kuiomba ikusaidie wakati unatafuta cha kufanya.

2_20260429_121406_0001.png
3_20260429_121406_0002.png

Google imeleta feature mpya kwa watumiaji wa simu za Android inaitwa Proactive Assistance , hii ni Teknolojia inayotumia Ai yenye kutoa msaada kwenye simu yako bila wewe muhusika kuomba msaada moja kwa moja.

Ni kisaidizi kinacho tangulia kufanya au kupendekeza jambo kabla wewe muhusika hujamuuliza kashakupa Majibu.

4_20260429_121406_0003.png
5_20260429_121406_0004.png

❌ Mfano badala ya kusema
"Hey Google, niambie njia nzuri ya kupita bila foleni"

✅ Yenyewe sasa inakuonyesha moja kwa moja "njia fupi ya kupita ili kuondokana na foleni" bila kumuuliza Chochote.

7_20260429_121406_0006.png
8_20260429_121406_0007.png

Kumbuka hii tofauti Ai assistant za kawaida
• Ai ya zamani unamwambia afanye jambo
• Ai ya Proactive inatangulia kutoa msaada kabla hujamuomba.

Unasemaje kuhusu hii Teknolojia 👋
 
Natumia Current version ya March 13 haina hiyo feature bado.
1000391425.png

Screenshot_20260429-154200.png
 
View attachment 3581399

Hivi utajisikiaje pale ambapo simu yako inakupa msaada bila kuiomba ikusaidie wakati unatafuta cha kufanya.

View attachment 3581400View attachment 3581401

Google imeleta feature mpya kwa watumiaji wa simu za Android inaitwa Proactive Assistance , hii ni Teknolojia inayotumia Ai yenye kutoa msaada kwenye simu yako bila wewe muhusika kuomba msaada moja kwa moja.

Ni kisaidizi kinacho tangulia kufanya au kupendekeza jambo kabla wewe muhusika hujamuuliza kashakupa Majibu.

View attachment 3581402View attachment 3581403

❌ Mfano badala ya kusema
"Hey Google, niambie njia nzuri ya kupita bila foleni"

✅ Yenyewe sasa inakuonyesha moja kwa moja "njia fupi ya kupita ili kuondokana na foleni" bila kumuuliza Chochote.

View attachment 3581404View attachment 3581405

Kumbuka hii tofauti Ai assistant za kawaida
• Ai ya zamani unamwambia afanye jambo
• Ai ya Proactive inatangulia kutoa msaada kabla hujamuomba.

Unasemaje kuhusu hii Teknolojia 👋
Chai
 
Back
Top Bottom