Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐คฏ๐ฅ
Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐ฑ๐
๐ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka.
โ๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker.
๐ Kutengeneza sticker mpya kabisa kwa maelekezo yako.
โ๏ธ Kuongeza maandishi, emoji au style fulani.
๐ฌ Kisha sticker iwe rahisi kuitumia kwenye WhatsApp.
Hakuna tena kuhangaika na apps nyingi za kutengeneza stickers! ๐ฎโ๐จ๐ฅ, bado haijaachiwa kwa watumiaji wote hivyo endelea kufuatilia page yetu bongotech2โต5๐ฎ๐ง || Teknolojia ni Yetu sote ๐ tutakujuza Zaidi.
Je, ungependa ChatGPT iwe na uwezo huu? ๐๐ฅ Tuambie maoni yako?