Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,349
Reaction score
2,757
1_20260630_201958_0000.png


Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.

2_20260630_201958_0001.png
3_20260630_201958_0002.png


๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji wake.

kupitia mfumo wa Username, utaweza kutengeneza jina la kipekee (mfano: @BongoTech255) ambalo watu wataweza kulitumia kukupata na kuanzisha mazungumzo na Wewe bila kuhitaji namba yako ya simu Tena.

4_20260630_201958_0003.png
5_20260630_201958_0004.png


โŒ username hazitaweza kufanana na mtu mwingine.
โœ… Itaanza na Alama ya (@)
๐Ÿ”ป Pia unaweza kubadili kila ukihitaji ni Bure.

6_20260630_201958_0005.png


Je, Username yako ya kwanza ungependa iwe ipi? Ebu tuambie ushaanza kutumia aiseeh ๐Ÿ˜„ Andika kwenye comments! ๐Ÿ‘‡

Usisahau kufollow kwa habari zote mpya za teknolojia. ๐Ÿš€.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom