Walichofanyiwa YouTube na Duck Duck Go ni majanga balaa

Walichofanyiwa YouTube na Duck Duck Go ni majanga balaa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,380
Reaction score
2,827
1_20260711_104621_0000.png


Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin.

Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser, unaweza kutazama video nyingi bila matangazo ya kuudhi yanayokatiza kila dakika.

2_20260711_104621_0001.png


Bila kuhitaji kuweka Extension yoyote Ile Yenyewe inakupa uwezo wa kuzuia Matangazo yanayojitokeza wakati unatizama video kwenye YouTube moja kwa moja ndani ya browser yake.

3_20260711_104621_0002.png


008syX7yrzw357V5Kznw20h-4.fit_lim.size_1200x.png


Kumbuka Mfumo huu unazuia Matangazo yote Yale yanayotokea kabla ya video (pre-roll) na yale yanayokatiza katikati ya video (mid-roll).

🔥 Watu wengi tayari wanaijaribu... wewe una maoni gani?
 
Kazi nzuri yale matangazo yalikua yanaboa sana, japo soon huenda YouTube itailima Duckgo ban ya msisitizo sababu nikama ulaji wa vigogo utaenda kupungua
 
Back
Top Bottom