Alicia Keys tribute ya Jay Z, Bongo kama hii unapata kwa Ruby na Grace Matata

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua labda hapo nitamuweka Ben Paul kidooogoo sana otherwise tutachochereshana.

Daah! Alicia Keys what a beauty!?
I appreciate the beauty of this living angel.

Ukiachana na uzuri wake kanimaliza sana kwenye kipande cha Jay-Z cha wimbo wa IZZO.
H to the izz-O, V to the izz-A....

Humo mwamba alikamua kinyama ...amenikumbusha those old days when Hip-hop used to be hip-hop, Radio one used to be the best urban radio in town, kipindi cha nani mkali kila jumapili kama sikosei.

Unakuta Jay-Z anashindanishwa na Nas Escobar ...daah walimkosea heshima sana Jay-Z kumshindanisha na Nas. Nas kapotea wakati mwamba kadumu kwenye game more than a decade longer than Nas..
 
nas alikazania issue kwa ni the best lyricst which is true anaajua kuandika sana ila ni kama Roma ana style moja hajui kubadilika na pia jay z issue ya kuwa na beyonce imemueweka relevant hadi kwa kizazi kipya cha sasa wana m refer kama beyonce's husband...mimi hadi 2004 ulikuwa huniambii kitu kuhusu Nas ila nishamchoka hana jipya
 
Daah! Alicia Keys what a beauty!?
I appreciate the beauty of this living angel.

Ukiachana na uzuri wake kanimaliza sana kwenye kipande cha Jay-Z cha wimbo wa IZZO.
H to the izz-O, V to the izz-A....

Humo mwamba alikamua kinyama ...amenikumbusha those old days when Hip-hop used to be hip-hop, Radio one used to be the best urban radio in town, kipindi cha nani mkali kila jumapili kama sikosei.

Unakuta Jay-Z anashindanishwa na Nas Escobar ...daah walimkosea heshima sana Jay-Z kumshindanisha na Nas. Nas kapotea wakati mwamba kadumu kwenye game more than a decade longer than Nas..
unamatatizo wewe unamfananisha nas na vitu vya kijinga...
 
nas alikazania issue kwa ni the best lyricst which is true naajua kuandika sana ila ni kama Roma ana style moja hajui kubadilika na pia jay z issue ya kuwa na beyonce imemueweka relevant hadi kwa kizazi kipya cha sasa wana m refer kama beyonce's husband...mimi hadi 2004 ulikuwa huniambii kitu kuhusu Nas ila nishamchoka hana jipya
nyie ndo wale mnaopelekwa na daimond kafanya nn JAYZ ni mfanya biashara ila hajawahi mshinda nas kua best lyricist na kutoa miziki mizuri kasikilizeni KINGS DISEASE ndo mrudi hapa
 
naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua labda hapo nitamuweka Ben Paul kidooogoo sana otherwise tutachochereshana.

Coke-studio una waimbiaga wewe?
 
Tafuta live performance ya empire state of mind "NEW YORK" Yan Alicia alivyokuwa anaanza napale jigga anaingia aisee n hatari Ruge na clouds walikuwa wanalaximisha live performance ziwe na band ndomana sikuhizi shoo haxina deal bongo Ila nenda YouTube search hata live performance ya Eminem au Lily wine ft t.pain I got money ndo ujue wenzetu wanaujua na wanauthamini na wanamzukuka na mziki wanaoufanya
 
Daah! Alicia Keys what a beauty!?
I appreciate the beauty of this living angel.

Ukiachana na uzuri wake kanimaliza sana kwenye kipande cha Jay-Z cha wimbo wa IZZO.
H to the izz-O, V to the izz-A....

Humo mwamba alikamua kinyama ...amenikumbusha those old days when Hip-hop used to be hip-hop, Radio one used to be the best urban radio in town, kipindi cha nani mkali kila jumapili kama sikosei.

Unakuta Jay-Z anashindanishwa na Nas Escobar ...daah walimkosea heshima sana Jay-Z kumshindanisha na Nas. Nas kapotea wakati mwamba kadumu kwenye game more than a decade longer than Nas..
Nas kapotea?? Wee wa wap mkuu?
 
Nas kapotea?? Wee wa wap mkuu?
Kapotea kwenye game kitambo, kaishia kuuza sura kwenye video clip ya Nicki Minaj ...
Ha haaa kweli Nas yule MC matata wa East Coast anakuja kuuza sura kwenye kideo cha cheap and low level Nick Minaj?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom