bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. bahati93

    JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi category za nyimbo Bongo huwa inategemea kaimba nani?

    Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar es Salaam, au Diamond na sebene lake la Waah, utalisikia linapigwa kwenye hivyo vipindi. Sasa...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mtu akipewa ujuzi huu anaweza kujiajiri Tanzania na hata nje ya nchi kwa ufanisi sana

    Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri. Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Bongo Search Mnaelewa anachoimba huyu mchina kwenye shindano lenu?

    Bongo Star Search Mnaelewa anachoimba huyu Mchina kwenye shindano lenu?
  6. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

    Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandaji wa BSS (Bongo Star Search) Msimu ujao ongezeni 'Kipengele' cha Kuwapima 'Akili' Washiriki wenu kwani tunachoka Kuwatizama 'Matahaira' tu

    Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS ambao nimeushuhudia kuwa una 'Washiriki' wenye 'Utahaira' katika 'Uuimbaji' ni huu unaoendelea sasa. Na...
  8. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo hali tete kwa sasa na YouTube Views

    Habari! Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote. Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao. Mambo yamekuwa si...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya vigogo au wenye ukwasi hawawaamini madaktari wa Bongo?

    Nchi kama za Uchina na India Wananchi wake wote hutibiwa na madaktari wa nchi zao kwenye hospitali za nchi zao. Wanawaamini ssana madaktari wao na hospitali zao kuliko wa nje. Vigogo wao wote hutibiwa nchini mwao na hujisikia kuwa salama zaidi kuliko kutibiwa hodpitali na madaktari wa nchi za...
  10. King Sae

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na minada ya nguo nyakati za Usiku

    ...amani iwe kwetu sote. Leo nimetoka zangu mihangaikoni naludi geto mida ya usiku tatu kasoro ,ile nashuka tu stand...hatua chache mbele nikakutana na mnada wa nguo afu Bei chee,nikasema ngoja nisogee nikaangalie ikiwezekana ninunue ata fulani mbili za kushindia. Nikastuka mbna nguo nzuri hv...
  11. gimmy's

    JamiiForums Tanzania TBC, kipindi cha Bongo Kama Ulaya mnarudia maudhui yaleyale kila siku

    Tunajua hiki kipindi cha Bongo Kama Ulaya kipo kwa ajili ya kukusanya kura tar 28 lakini kwa sasa hiki kipindi kinaboa. Kila siku madaraja ya juu na treni za mwendo kasi, sidhani kama mmejipanga vizuri. Habari inanoga kama huwezi kutabiri kabla ya kuiona/kuisikia lakini hiki kipindi kikifika...
  12. BRN

    JamiiForums Tanzania Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri

    Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao. Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye misemo ya kiswahili hivyo kujizolea umaarufu. Alianza kunivutia kuangalia tena hizi movie zao ila...
  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa wangu, duniani kote Vyama vya Siasa huwa na wasanii maalum kutumbuiza wakati wa kampeni

    Nimejaribu kuangalia ile mobilization iliyofanywa na wasanii kule nchini Nigeria kina Davido na wenzake wakiandamana kuomba kile kikosi maalum cha Polisi kinachotesa Raia kivunjwe na hatimaye mamlaka zimekivunja. Huku Bongo Wasanii wa kizazi kipya kina Diamond na kundi lake wanakata mauno kwenye...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria

    Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.
  15. Extrovert

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

    "Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
  16. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Buriani John Nash na kiu ya kufahamu ni nini kinakosekana kwa Wasanii wetu hapa Bongo

    John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni ngoma ya "rock me baby" Sikujali sana ni nani aliyeimba kibao hicho ila baadae nilikuja kujua...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu wa Bantu unafeli wapi vs Bongo fleva?

    Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva? Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  19. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokuwa anazivaa akiwa nje ya nchi

    Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport? Asante.
  20. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliopanga kwenda kula X-Mass Bongo kutoka UK

    Eurostar has announced it will launch its much-anticipated direct Amsterdam to London route on October 26. The route was originally slated to launch in April but was pushed back six months due to the coronavirus pandemic. Tickets for the service will go on sale from September 1, and will be...
Back
Top Bottom