bodi ya mikopo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Habari, Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini? Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
  2. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo mna shida gani maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao?

    Ni zaidi ya wiki tatu sasa natuma maombi ya mikopo kwenye bodi ya mikopo kwa njia ya mtandao. Lakini muda wote ninaotuma maombi hayo matatizo mawili yanajitokeza. Tatizo la kwanza napata ujumbe huu "A User With Tha UserName Already Exists". Napata ujumbe huu baada ya kulipia gharama za maombi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo: Tunafuatilia Madai ya matokeo ya Wanafunzi wa UDOM kuzuiwa kisa kuchelewa kwa malipo ya ada

    Ufafanuzi wa Awali: Malipo ya Ada ya Mafunzo (Tuition Fee) ya mwanafunzi-mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu unaotolewa na serikali hulipwa kwa baada ya masuala yafuatayo kukamilika: Chuo kuwasilisha HESLB madai (invoice) sahihi na kwa wakati; 'Invoice' sahihi ni ile yenye kiwango (amount)...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uongozi wa UDOM unazuia matokeo ya mitihani kwa Wanafunzi ambao tumecheleweshewa malipo ya ada kutoka Bodi ya Mikopo

    Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada chuoni. Hivyo, uongozi wa UDOM umewataarifu Wanafunzi kuwa walipie wenyewe ada direct na kama bodi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

    Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa. Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bodi ya mikopo natokaje hapa kwenye demographic info?

    Naomba msaada wiki nzima sasa nimekwama kwenye demographic infro mtandao kila niki submit nashindwa kwenda mbele mfumo upo slow unashindwa kupokea data. Je, nifanyaje?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania DP World ilipe madeni yote ya wadaiwa wa bodi ya mikopo (HESLB)

    Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo? Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape bandari ya zanzibar kwa miaka 50, wakifanya vizuri tutawapa bandari zetu zote za Zanzibar.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Niwalipe au niuze deni la Bodi ya Mikopo?

    Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo. Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, hiki kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuanza tena kuwakata makato wale wanaufaika ambao tayari walishamaliza marejesho?

    Ninaomba tu kufahamau kama hiki kitendo kinachofanywa na hii Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), kama ni sahihi au la. Binafsi naona kama ni kitendo cha kihuni. Maana mwezi uliopita kuna kundi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu walioko kwenye utumishi wa umma, na ambao kimsingi...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli serikali imerudisha retention fees ya bodi ya mikopo? Ukweli ni upi?

    Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ulivyowanyima Usingizi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Achana na watendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Eklimu ya Juu (HESLB), kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, mwaka 2022 unaweza kuwa mwaka uliokuwa na hekaheka nyingi zilizowatoa jasho watendaji wa bodi hiyo. Moja ya mambo ambayo yaliwapa wakati mgumu watendaji...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) wanakata zaidi ya deni, ukiwafuata unaambiwa omba kurejeshewa kwenye mtandao na usubiri kwa miezi mitatu

    Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi. Wanakwambia subiri...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

    Good Afternoon jamiiforums. Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa? Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/= Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
  18. SAFAM classic

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya mikopo

    Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

    Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine? Nawasilisha
Back
Top Bottom