Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.
Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.
Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani
Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete...
wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana
kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi.
watu wa sheria wanajua makubaliano...
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!
Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .
Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA...
Katika hali ya kustaajabisha Leo June 1, 2020 mamia ya wanachuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wameonekana wakisotea fedha zao za mkopo "Boom''
Hii imeleta sintofahamu maana Waziri wa Elimu ya Juu Mhe. Ndalichako alinukuliwa siku chache kabla ya vyuo kufunguliwa akisema kwamba mpaka sasa...
Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeshapeleka Tsh Billioni 122.8 katika vyuo na taasisi za elimu 81 kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi.
Imesema wanafunzi wanaostahili kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ni 132,119, fedha wanazopewa ni kwa ajili ya malazi, posho...
Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
Siku chache zilizopita nilitumiwa picha ya frontpage ya gazeti moja likimnukuu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu akisema "Wadaiwa Bodi ya Mikopo Kusakwa Majumbani Usiku" nikashtushwa kidogo nikasema nitakapopata muda nitajaribu kuweka bandiko moja hapa nitoe maoni yangu kuhusu ulipaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.