bodi ya mikopo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
  2. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo wasijibu kwa ujumla ujumla Kiwango kidogo cha mikopo kwa wanafunzi

    HESLB wamejitetea kwamba kiwango cha chini cha mkopo walichotoa kwa mwanafunzi ni Tsh2,099,500. Hi ni taarifa ya jumla jumla na haina msingi.Hiyo ni fedha ya kujikimu na hutolewa sawa kwa wote. Bodi waseme kiwango cha chini cha Ada walichotoa ni Shiling ngapi? Mwaka huu zaidi ya wanafunzi elfu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) yawapangia wanafunzi 37,731 mkopo awamu ya kwanza kwa mwaka 2021/2022

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tozo hizi za awamu ya sita hazina tofauti na tozo za Bodi ya Mikopo zilizoongezwa karibu mara mbili enzi za Magufuli

    Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma. Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ishanichanganya hapa!

    Salam wakuu. Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14. Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo. Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa. Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  12. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021. karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
  13. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

    Na Thadei Ole Mushi. Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo

    Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

    Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
  16. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  17. las Casas

    JamiiForums Tanzania HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
Back
Top Bottom