bodi ya mikopo

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze na bodi ya mikopo kuwanusuru Watanzania

    HELLOW BODI YA MIKOPO, HAMUWEZI KWENDA NA HII? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito juu ya hoja ya mnufaika wa Fedha ya bodi ya mkopo kutakiwa kuanza kuirejesha mara baada ya miezi 24 tangu kuhitimu. Hoja hii imezua mjadala mzito kutoka kwa wadau mbalimbali...
  3. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano. 🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000 🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value...
  4. scatter

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) tunaomba kujua kuna ubaya gani retation fee kwa wadaiwa ikasemehewa?

    Serikali yetu ni ya wanyonge na wanufaika wa hii mikopo ni watanzania masikini je hamuoni kuna ulazima wa kuisamehe au kurekebisha sheria ili kipengele cha retation fee kipunguzwe au kuondolewa kabisa kwa sababu kuna watu wengi wana nia ya kurejesha mikopo yao lakini wakisikia suala la deni...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu deni la bodi ya mikopo (HESLB)

    Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali. Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  7. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mnaongoja matokeo ya Rufaa ya Bodi ya Mikopo

    Ndugu zangu mnangoja matokeo ya rufaa vipi uko akaunti zenu zinaujumbe UPI adi mda huu mana Siku imeisha hii sijaona mrejesho wowote kwa upande wa akaunti yangu.
  8. Riz king

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo inataka kuzimisha ndoto zangu sijui nifanyeje

    wakuu salaam nyingi sana kwenu. Mimi naenda kwenye mada, mwaka jana niliacha chuo baada ya kukosa mkopo ikabidi nirudi home kujipanga upya na nikaaply mkopo mwaka huu huku nikiambatanisha death certificate ya marehemu mzee wangu. Mungu si athumani nilipata chuo kikuu cha private kwa course ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) yatolea ufafanuzi juu ya Maombi ya Mikopo kwa mwaka wa masomo 2020/2021

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2020/2021. Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu (Oktoba 19, 2020) na Mkurugenzi...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekana wengi hatukusoma vizuri na kuelewa masharti ya mkataba kati ya mwanafunzi na Bodi ya Mikopo(HESLB)

    Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao. Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
  11. muzi

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa Bodi ya Mikopo (Higher Education Student's Loan Board)

    Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini. Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee. Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo...
  12. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanufaika na wanufaika watarajiwa wa bodi ya mikopo mnayo kila sababu ya kuikataa CCM na kumchagua Lissu

    Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya. Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa watu wanafanya haya kwa lengo la kumkomoa nani? Kuna baadhi ya sheria ni za ajabu kwelikweli hadi wao...
  13. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo "HESLB" mwaka huu sijauelewa utaratibu wenu

    Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa. Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Habari, Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo: Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
  16. Eboo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

    Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
  17. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  18. T

    JamiiForums Tanzania HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

    Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni. Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu. Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

    Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete...
Back
Top Bottom