Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali.
Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB.
Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu.
Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.
Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha.
Baadhi ya mambo waliyoyataja ni pamoja na Bodi ya Mikopo kuchelewesha mikopo au kutoa mikopo kwa ubaguzi.
Wabunge hao...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi.
Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
Gharama za maisha zimepanda; hii ikimaanisha bei za vyakula na bidhaa zingine muhimu ikwemo huduma za steshenari, afya, usafiri, vyombo vya usafi na vingine vingi.
Ninayo imani Bodi ya Mikopo ya Elimu yavJuu ya Tanzania (HELSB) mnafahamu na kuelewa juu ya kupanda kwa gharama za maisha na...
Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu
Vijana wanashindwa ku select category
Watu wa IT rekenisheni
Habari wadau.
Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA.
Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
TAALUMA YANGU MASHAKANI.
Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
Hello wadau wa JF,
Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini.
Licha ya kwamba elimu...
Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali?
Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi).
Wanachokosea...
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu?
Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Sijaelewa shida nini ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi uliopita(wa kwanza) deni lilikua milioni 3 mwezi wa pili milioni 3, watu wengi wanalalamika madeni kuongezeka wengine wanamaliza lakini mwezi unaofuata wanakuta ongezeko tena. Shida ni nini?
Hakuna taarifa yoyote wala ufafanuzi au...
Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara,
Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
Bodi ya mikopo mpaka round ya nne na ya mwisho wametumia Bil.169 out of Bil.570 Kwan hiz zingne znaenda wapi?
hata kama kusema ni kwa continuing students ndo zote izo?? af first ia ndo ivo tunaambulia hela ya kula??
Mmmh hii imekaaje au me ndo selewi..
Mwandishi wetu, Arusha
Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) imekitunuku chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kampasi ya Arusha tuzo ya utunzaji mzuri wa kumbukumbu wa fedha za wanafunzi.
Mbali na hilo pia bodi hiyo imekitaja chuo hicho kuwa ni miongoni mwa vyuo bora nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.