BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 422
- 1,049
Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada chuoni.
Hivyo, uongozi wa UDOM umewataarifu Wanafunzi kuwa walipie wenyewe ada direct na kama bodi wakiingiza pesa wataandika barua kuzirudisha hela.
Kushindwa kufanya hivyo basi tambua kuwa hutapata matokeo na kama ulifeli utadisco, maana muda wa kufanya ‘SUP’ utakuwa umeisha ambao ni mwezi mmoja baada ya matokeo.
Je, hii ni sawa? na kwanini Bodi ya Mikopo icheleweshe pesa? Hili ni kosa la nani? Na Kwa wale wasio na uwezo wa kulipa hiyo pesa haraka hivyo hatima yao ikoje?
Pia soma: Bodi ya Mikopo: Tunafuatilia Madai ya matokeo ya Wanafunzi wa UDOM kuzuiwa kisa kuchelewa kwa malipo ya ada