bodi ya mikopo

  1. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia bodi ya mikopo kama mmeshindwa kuwahudumia hawa watoto ni bora mkasema ili watafute option nyingine

    Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada. Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yasema changamoto ya mifumo ya Kibenki imechangia 'Boom' kwa Wanavyuo kuchelewa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa. Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
  4. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  5. conoralbert

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili. Updates...
  6. Peacehand

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo

    Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao. Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya waziri mkuu nilitegemea bodi ya mikopo ya ELIMU ya juu isimamishwe na taasisi zote za elimu ya juu tofauti na hapo yeye ajiuzulu

    Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali Kitendo Cha kuonyesha madhaifu na mapungufu makubwa ya mfumo muhimu katika Taifa lolote ambao uko chini ya wizara ya...
  8. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo sitisheni Kutoa mikopo Kwa wanaotaka kusomea Sheria, ualimu na uhasibu japo Kwa miaka 7

    Wanasheria, walimu na wahasibi wapo wengi sana mtaani na hawana ajira Kitendo Cha bodi ya mikopo kuendelea kuchoma pesa Kila mwaka kuwakopesha wanafunzi wapya wakasomee hizo fani pesa ambazo hata hamjui kama zitarudi hayo ni matumizi mabaya Kwa pesa za walipa kodi Tayari wapo wengi mtaani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya mikopo kupitia app yao mpya imekuwa changamoto kwetu wanachuo kusaini malipo ikiwa ni ada pamoja hela ya kujikimu

    Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yasema imetumia Tsh. Milioni 623.2 kuwafadhili wanafunzi wa Masters

    ORODHA YA WANUFAIKA WA 'SAMIA SCHOLARSHIP' NGAZI YA SHAHADA YA UMAHIRI YATANGAZWA Tsh. Milioni 623.2 zatumika kuwafadhili ■Jumla ya wanafunzi 80 wa Shahada za Uzamili katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ambao wamedahiliwa katika programu za sayansi na ubunifu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu umekuwa na changamoto wiki hii, haupokei maombi ya wahitaji kwa siku ya 9 leo

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania kuhusu matatizo yanayojitokeza katika mfumo wenu wa maombi ya mikopo tangu zoezi la maombi lilipofunguliwa tarehe 15 hadi leo hii tarehe 24/01/2024 Tatizo kubwa ni kwamba hakuna maombi yaliyopokelewa kutokana na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatoa ufafanuzi kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata Fedha za Kujikimu "Boom"

    Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
  14. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HESLB, Maisha magumu hela hakuna boom hawaweki

    Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee! Ila hakuna disbursement wala check number. Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo? Mana loan officer chuoni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujuzana kwa wale waliotuma maombi ya Appeal katika bodi ya mikopo HESLB

    Wadau habari zenu, Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi? Naomba tutumie uzi huu kupeana updates kwa kile kilichojiri kuhusiana na maoimbi ya APPEAL.
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuanza makato upya baada ya Miaka minne kumaliza deni!

    Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
  19. Shobi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi itazamwe kwa ukaribu

    Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo. Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa kipaumbele katika utoaji wa mikopo. Pili kinachotolewa mkopo ni kozi au Hali ya mwanafunzi. Ukiangalia kwa...
  20. second9

    JamiiForums Tanzania Hongera! Bodi ya mikopo HESLB ukizidisha malipo wanarudisha!

    Wakuu, Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB) Sasa ilipofika nataka kufatilia wanilipe kila niliyemwambia alisema niachane nao huwa hawalipi. Sasa siku moja nikaenda pale bodi...
Back
Top Bottom