binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaitaka Tiktok kueleza jinsi inavyolinda Taarifa Binafsi za Wananchi

    KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Visa na matukio (adventures) binafsi niliopitia maishani

    Binadam tunapitia mengi sana maishani. Yanaweza yakawa ya kila namna, mazuri au mabaya. Yapo yakusikitisha, kufurahisha, maudhi, kutisha, kufurahia na kuchukia lakini mwisho wa siku yanabaki kua ni (adventure) au hadithi ya maisha (kwa sauti ya mzee Rukhsa). Tajitahidi kuweka katika kila post...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa hizi:- SMS - yan...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  10. JamiiForums Tanzania Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

    Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa? CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa. Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  14. JamiiForums Tanzania Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine. Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  17. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi Wakaribishwa Kuwekeza Katika Reli

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa. Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

    Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi) swali. Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi? Ahsanten
  19. JamiiForums Tanzania During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams

    "During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams" - Tupac. NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…