binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. n00b

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kidogo juu ya huduma za afya Hospitali Binafsi

    Inapofika mahali ukachunguza unaporekebishiwa uhai huna budi kuchunguza ukiwa umefunga mdomo,milango na madirisha. Hospital ya Aga Khan ni moja ya hospitali zinazopokea wagonjwa wengi kwa sasa ni hospital ya private. Nadhani inaweza isiwe na vifaa vizuri Kama mloganzila ila inaweza ikawa na...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

    MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo wanadaiwa kuzitumia kwa matumizi yao binafsi. Amesema wakishindwa kurejesha fedha hizo, watakamatwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Orodha ya Makampuni yote ya serika na Mashirika binafsi kwa Urahisi

    National Commercial Directory Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz Utapata: -Namba zao za Simu -Sehemu Walipo(ofisi) -Email zao -Website zao Kwa mfano Kwenye Directory yetu...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

    Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi. Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Hospitali Binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo

    Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza bei na kutahadharisha kuwa siyo kila mwenye matatizo ya kupumua ana Corona. Source ITV habari...
  7. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mbinu Binafsi dhidi ya Corona

    Mbinu Binafsi Dhidi ya Korona NARUKA!: Haya ni maoni binafsi. Mimi si daktari tabibu wa binadamu (MD). Ukiyafuata yaliyoandikwa humu ni kwa hasara na hatari yako mwenyewe. Yaliyoandikwa humu siyo ushauri wa afya. Pata huduma kwa watoa huduma za afya wanaotambulika na mamlaka husika kwa masuala...
Back
Top Bottom