binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za silaha zinazoongozwa na Marekani zinaweza kuangamiza jamii ya binadamu

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Amani Duniani ya Stockholm, matumizi ya jumla duniani katika mambo ya ulinzi kwa mwaka 2023 yalifikia dola za kimarekani trilioni 4.44. Tathmini hiyo ya mwaka ya Mwelekeo wa Matumizi ya Kijeshi Duniani ya Taasisi hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

    1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako. 2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo. 3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi. 4. Pesa ni namba na...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Matumizi ya vyombo vya plastiki kuwekea chakula au vinywaji vyenye joto kali yana madhara kwa binadamu

    Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo wanaodai inasababisha saratani, wengine inamaliza nguvu za kiume kwa wanaume na mambo mengi. Je, ni kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Ukaidi wa wenzake ulimnusuru kunyweshwa mkojo wa binadamu!

    Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha. Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo lilitokea tena jirani na kwetu. Binti mmoja alikunywa sumu, na kabla ya kukimbizwa hospitalini...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

    Salaam wandugu, Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake. Sasa hayo yameshindikans...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Udhibiti wa Dawa za Asili: Kuunda Mfumo Thabiti wa Kuhifadhi na Kudhibiti Dawa Zilizothibitishwa kwa Matumizi ya Binadamu

    Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa udhibiti na uhifadhi wa dawa zilizothibitishwa ili kuhakikisha usalama na ufanisi...
  9. JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Kigoto Kirumba, kielelezo cha utu, upendo, urafiki na haki za binadamu ndani ya Jeshi la Polisi

    Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini. Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  11. JamiiForums Tanzania Season 2: Akili ya binadamu

    Habari wakuu, Baada ya kuijadili kwa kina thread yetu pendwa Akili ya binadamu katika huo uzi mimi nilikuwa mchangiaji mkuu, niliichambua na kuielezea akili ya binadamu ktk angle ya kibaiolojia, nikiri tu kwa kusema kuwa akili ya binadamu ni complex sana huwezi kuichambua ktk angle moja peke...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC na ZAFAYCO: Ukatili dhidi ya Wenza umeongeza sababu ikiripotiwa kuwa "Wivu wa Mapenzi"

    LHRC wakishirikiana na Zanzibar Fighting Against Youth Challenges Organization (ZAFAYCO) wanazindua ripoti ya Haki za binadamu 2023. Ripoti inatazamia kuonesha hali ya Haki za Binadamu Zanzibar na Tanzania Bara kwa mwaka 2023. Ripoti hii ni ya 22 kutolewa na LHRC tangu 2002...
  13. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  14. JamiiForums Tanzania Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana, Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa TMDA: Kushughulikia Dawa Zilizoainishwa Kutofaa kwa Matumizi ya Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI Baadhi ya tafsiri: Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  18. JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kuishi bila dini ikiwa anafahamu mwanzo na kusudi la mwisho la kuwepo kwake

    Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔 Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi? Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo yanavyoendelea kuhusu wasafirishaji haramu wa binadamu tusishangae kuona kuna viongozi watatumbuliwa

    Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na madawa ya kulevya. Nimejikuta kusoma kutokana na kuona ndani ya wiki mbili zimekamatwa V8 tatu nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka. China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka. Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini IRAN pia ilinyonga watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…