matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,590
- 15,385
Ustaarabu na maendeleo duniani ulianzia Misri. Misri ilikuwa na watu weusi wa kutosha. Ndio maana hata wazungu walienda kuvamia sanamu za mafarao na kuzing'oa mapua ili kupoteza ushahidi. Enzi hizi wazungu wanaishi mapangoni kama manyani.
Kwa muJibu wa kitabu why nations fail, kuna maelezo kuwa kuna kipindi Congo kulikuwa na mji wenye maendeleo makubwa kuliko london miaka hiyo. Hayo yalielezewa na mlowezi wa kwanza kufika huko vijijini.
Hizo akili ndio akili ulizonazo wewe.
Ukiamua kujifanya mjingamjinga na masikini usiye na muelekeo eti kwa sababu wengi wamekubali ni wewe binafsi.
Unaakili kuliko wazungu, wachina, waarabu na wahindi. Hili ndio nimejifunza leo wakati napuyanga kwenye vyanzo vyangu vya maarifa.
Ni hayo tu.