binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AnyWayZ

    SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
  2. kmbwembwe

    Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

    Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu. Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo. Hivi ni vituko vya...
  3. Brain Kingdom

    Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  4. Mjanja M1

    Kampuni ya Elon Musk yapandikiza kifaa kwenye ubongo wa binadamu

    Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya. Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote...
  5. Roving Journalist

    Ruvuma: Akamatwa na fuvu linalodhaniwa kuwa ni la Binadamu na vipande vya ngozi wanyama pori kwenye begi la mgongoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha mwezi Januri,2024 tumefanikiwa kuendesha Operesheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma ambapo katika misako hiyo tarehe 07.01.2024 katika kijiji cha Nahoro, Kata ya Luegu Wilaya ya Namtumbo...
  6. JamiiCheck

    Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  7. Lycaon pictus

    Binadamu tuliumbwa tutembee peku. Viatu vinatuharibu miguu

    Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana. Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri. Tutembee peku hapa na pale.
  8. The Dictator

    Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

    Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani. Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
  9. Shining Light

    Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
  10. MK254

    Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  11. passion_amo1

    Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

    Habari za uzima wakuu? leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
  12. Lycaon pictus

    Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  13. Jackwillpower

    Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Road map 2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu

    ROADMAP2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unaweza ukajiuliza kwa nini katika sensa za zamani Wanawake hawakuchukuliwa kama Watu. Hata katika Biblia tunaona Yesu akilisha Watu(wanaume) elfu tano huku wanawake na watoto wakiwekwa kando. Jambo hilo...
  15. Crocodiletooth

    Nimechinja mbuzi nimekutana na hiki kwenye ubongo, je binadamu tunayo?

    This dude!
  16. Ngungenge

    Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  17. sanalii

    Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  18. Uwesutanzania

    Binadamu hanaga shukrani hivyo kama unampenda we mpende tu

    Binadamu siku zote hanaga shukran hivyo kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila kitu ila hatutaki kelele baadae. Wengi wamelizwa kwa kusubiri kutegemea SHUKRANI kutoka kwa wapenzi wao kutoka kwa WATOTO wao kutoka kwa MARAFIKI zao. Hivyo basi kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila...
  19. Kiplayer

    Binadamu wote hatuna akili timamu

    Tunazidiana tu ukubwa wa changamoto hiyo. Uthibitisho tunaupata hapahapa.
  20. Miss Zomboko

    Mkurugenzi wa Uchimbaji Visima aondolewa kwa kutofika Hanang baada ya Mafuriko

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
Back
Top Bottom