biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Delivery

    Changamoto za biashara ya Delivery Ni zipi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye kuanzia leo july,august,september,november ,december na january?

    Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili? Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
  6. WA UKAYE

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  7. Muhammad01

    JamiiForums Tanzania Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
  8. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  10. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ateuliwe kama mshauri wa Rais masuala ya biashara

    Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
  12. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuagiza bidhaa hii kwa AliExpress

    Habari za siku wadau wa JF, Moja kwa moja kwenye mada, Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
  13. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Umakini unahitajita sana unapotaka kuanzisha biashara ili kuepuka kuchoma pesa zako

    Wana jukwaa habari zenu! Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji) Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, bado unarekodi taarifa za biashara yako kwenye daftari?

    Habari wana Jamii Forum, Je, bado unarekodi taarifa za biashara kwenye daftari? Mimi ni freelance Book-Keeper mwenye uzoefu wa Zaidi ya miaka 5 na mhitimu wa Chuo cha Ifm kwa degree ya Accounting. Ni binti mchapakazi na ninaethamini kazi za watu wengine. Natoa huduma zifuatazo kwa biashara...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

    Inadaiwa marekebisho ya mfumo yamepelekea mizigo kukwama airport kwa wiki sasa na hakuna taarifa ya lini mfumo utakaa sawa.
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Biashara yoyote ili ikue na kukomaa inahitaji ulinzi Mkali sana

    Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi. Uli usiibiwe unahitaji ulinzi. Mapato na matumizi unahitaji ulizni hasa. Al in all tafuta mfumo thabiti wa kulinda biashara ikue na ikuletee faida.
  17. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

    Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mnaosema dini ni biashara mnakosea. Biashara ina manufaa kwa pande 2. Kama utanufaika upande 1 tu huo ni utapeli sio Biashara

    Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi. Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
  19. stewie

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Pads za kike

    deleted thread
  20. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
Back
Top Bottom