Nafanya usajili wa Kampuni, jina la biashara na mengine yanayohusu biashara

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Habari wadau,

Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA

A] usajili wa Jina la Biashara
b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA
C] kutengeneza company profile na annual report
d] tunatayarisha memorandum and article of association
e] tunadesign business card, stickers, logo's,
f] tunatengeneza calendar na diaries,
g] tunafanya events management
h] Tunaandaa warsha, na makongamano ya biashara, huduma za training n.k

Kwa huduma nilizotaja hapo juu piga no 0733 387117 kwa mawasiliano zaidi
tunapatikana mtaa wa Kongo , Dar es Salaam, Tanzania
karibu sana
 
Back
Top Bottom