Habari zenu wakuu,
Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo walau nipate chochote kitu.
Msaada mkuu nikunisaidia unijuze bei ya hapo hususa ni mikoa jirani...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
#Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi
Ruangwa - Lindi
Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI
Arusha
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi.
Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri".
Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
Good evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20.
Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.
Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.
Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.?
Lakini pia
✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha?
✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja?
Karibuni kuchangia wakuu.
Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha.
Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo.
Sasa baada y kumaliza nimeona naweza...
Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu.
Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
Utangulizi
Biashara ya Product Sourcing and Supply ni mchakato unaohusisha kupata na kusambaza bidhaa kutoka vyanzo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja. Katika ulimwengu wa leo ambapo masoko yamekuwa ya kimataifa, biashara hii imekuwa muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa...
Kilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana
Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika.
Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.