Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Wakuu .

Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle. Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)"
Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako.

Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana muda mtandaoni na nimejifunza mengi yaani sio kupoteza kwa ku enjoy kama ticktok hapana.

Hivyo nikaona ikiwa muda ninaopoteza nikiuweka katika jitihada za uzalishaji itaniletea faida.

Ni muda mrefu sana , nimeona biashara au fursa zifuatazo mtandaoni.

1. Hacking,
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijifunza bila kukoma kuhusu hacking na hata sasa kufanya phishing, password cracking nk .
sio case kwangu ila je ningewezaje kutumia knowledge hiyo kupata pesa. Niliwaza na nilijaribu njia nyingi sana lakini hakuna iliyozaa matunda.

2. Freelancing
Online freelancing pia ni njia niliyojaribu mara kibao bila mafanikio, nina account freelance, upwork, shorttask nk. kupata clients ndio changamoto, ushindani ni mkubwa, ikiwa kazi imepostiwa natuma proposal lakini ni zaidi ya miezi sasa sijawahi pata deal zozote.

3. Survey
Naishia kufanya survey tu lakini sioni pesa yoyote.

4. Dark web
Kuna bidhaa nyingi sana zenye bei ndogo, lakini bado nina uoga wa kuanza kushiriki biashara huko.

kazi nyingi sana online nilijaribu lakini moja iliyonifanya niandike uzi huu ni .

5. Forex.
Niliona sio mbaya nikaanza kujifunza forex mwenyewe kwa usaidizi mkubwa wa Chatgbt kwa jina la copilot from Bing ambayo ndio ilikuwa kama rafiki yangu wa karibu , vitu vingi sana nilijifunza, hadi pale nilipoona forex sio complex kama ambavyo watu wanaichukulia yaani ni kutrade tu ( buy or sell)

Ila shule kubwa ni utajuaje mda sahihi wa kubuy or sell, nika combine mbinu kama RSI , stochastic, (hizi zilinisaidia kujua overbought and oversold pair) then natrade , lakini pia price fluctuations, candle sticks, resistance and support level. nk .
Nilkuwa nazitumia hizo kujua hatua inayofuata ya soko la forex kwa muda mfupi .

Sikujikita sana na fundamental analysis kwasababu hiyo niliona ni kama inawahusu wale traders wa kuweka order hata ya wiki au siku mbili sio sisi scalpers, hata nilipo hitaji nilitumia chatgbt kuniambia hali ya soko kwa muda huo.

Njia au technique hiyo ilikuwa profitable kwangu kuanzia kwenye demo account hadi pale nilipo loose.
baada ya kuhama demo account nili deposit $10, kwa kutumia strategy nilizo mention hapo juu nilikuwa nahakikisha napata $2 kwa siku , yaani nafanya trade zaidi ya moja kwa siku ila kwa technical analysis.

Nikaongeza $10 zingine ili nianze kuwa serious, lol! siku moja nikasema wacha niache nimeset trade nikaweka stop loss na TP lakini asubuhi nikakuta $6 tu sio kwamba soko lilienda kinyume namimi hapana, nilifatilia kilichotokea hadi nikamchek broker , nilikuja kufahamu ni slippage. dah!

Pesa iliyobaki nikaitrade kwa kutumia Bitcoin USD, alooh! yaani RSI na sto ipo above 95 , indicators zote kwamba soko litashuka ninazo , hivyo nika sell , ilikuja kupanda ghafla pesa yote ikazima
$20 zangu nilizodeposit ndio hivyo tena.

Wakuu kama title ilivyo naombeni msaada wa kimawazo .
 
Mkuu acha kuwa jack of many trades master of none.
Stick na kitu kimoja hakitakulipa kwa siku moja lakini kitakulipa baada ya muda.
Ukikimaster unahamia kwingine.
Online imekuwa my life for years now.
 
Asante mkuu, wewe unapiga ipi
 
Wakuu .

Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle.
Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)"
Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako.

Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana muda mtandaoni na nimejifunza mengi yaani sio kupoteza kwa ku enjoy kama ticktok hapana.

Hivyo nikaona ikiwa muda ninaopoteza nikiuweka katika jitihada za uzalishaji itaniletea faida.

Ni muda mrefu sana , nimeona biashara au fursa zifuatazo mtandaoni.

1. Hacking,
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijifunza bila kukoma kuhusu hacking na hata sasa kufanya phishing, password cracking nk .
sio case kwangu ila je ningewezaje kutumia knowledge hiyo kupata pesa. Niliwaza na nilijaribu njia nyingi sana lakini hakuna iliyozaa matunda.

2.Freelancing .
Online freelancing pia ni njia niliyojaribu mara kibao bila mafanikio, nina account freelance, upwork, shorttask nk. kupata clients ndio changamoto, ushindani ni mkubwa, ikiwa kazi imepostiwa natuma proposal lakini ni zaidi ya miezi sasa sijawahi pata deal zozote.

3. Survey.
Naishia kufanya survey tu lakini sioni pesa yoyote.

4. Dark web.
Kuna bidhaa nyingi sana zenye bei ndogo, lakini bado nina uoga wa kuanza kushiriki biashara huko.

kazi nyingi sana online nilijaribu lakini moja iliyonifanya niandike uzi huu ni .

5. Forex.
Niliona sio mbaya nikaanza kujifunza forex mwenyewe kwa usaidizi mkubwa wa Chatgbt kwa jina la copilot from Bing ambayo ndio ilikuwa kama rafiki yangu wa karibu , vitu vingi sana nilijifunza, hadi pale nilipoona forex sio complex kama ambavyo watu wanaichukulia yaani ni kutrade tu ( buy or sell)

Ila shule kubwa ni utajuaje mda sahihi wa kubuy or sell, nika combine mbinu kama RSI , stochastic, (hizi zilinisaidia kujua overbought and oversold pair) then natrade , lakini pia price fluctuations, candle sticks, resistance and support level. nk .
Nilkuwa nazitumia hizo kujua hatua inayofuata ya soko la forex kwa muda mfupi .

Sikujikita sana na fundamental analysis kwasababu hiyo niliona ni kama inawahusu wale traders wa kuweka order hata ya wiki au siku mbili sio sisi scalpers, hata nilipo hitaji nilitumia chatgbt kuniambia hali ya soko kwa muda huo.

Njia au technique hiyo ilikuwa profitable kwangu kuanzia kwenye demo account hadi pale nilipo loose.
baada ya kuhama demo account nili deposit $10, kwa kutumia strategy nilizo mention hapo juu nilikuwa nahakikisha napata $2 kwa siku , yaani nafanya trade zaidi ya moja kwa siku ila kwa technical analysis.

Nikaongeza $10 zingine ili nianze kuwa serious, lol! siku moja nikasema wacha niache nimeset trade nikaweka stop loss na TP lakini asubuhi nikakuta $6 tu sio kwamba soko lilienda kinyume namimi hapana, nilifatilia kilichotokea hadi nikamchek broker , nilikuja kufahamu ni slippage. dah!

Pesa iliyobaki nikaitrade kwa kutumia Bitcoin USD, alooh! yaani RSI na sto ipo above 95 , indicators zote kwamba soko litashuka ninazo , hivyo nika sell , ilikuja kupanda ghafla pesa yote ikazima
$20 zangu nilizodeposit ndio hivyo tena.

Wakuu kama title ilivyo naombeni msaada wa kimawazo .
Mkuu kwanza Pole kwa Changamoto hiyo iliyokupata ila naweza kusema uko asilimia 5% ya safari yako kama trader nimeona mbinu na strategy yako unayotumia hizo indicators kama RSI Na stochastic oscillator kukuonyesha overbought na oversold zones kwenye market lakini hizo hazikupi guarantee ya entries na right execution sokoni Nachoweza kukushauri unahitaji kurudi kujinoa upya ujifunze vizuri market structure,Liquidity tricks,Inefficient/efficiency price action,Order blocks,supply and demand base candles,refinement of Areas of liquidity to generate trading levels and not areas,trading psychology alafu putting all together uwe na edge sokoni not just trading because price is in overbought or oversold mfano mimi kama price iko kwenye AOL yangu lazima nione ime engineer liquidity kweny time frame ndogo na iwe ina inducement below ama above my trading level otherwise I will not excute hii itakusaidia kupunguza makosa..remember Trading is not a get rich quick scheme trust the journey it gotta be worth ahead
 
Asante sana mkuu
 
Um a trader. Nachoweza kukushauri ni kuwa knowledge yako kuhus trade(forex) ni ndogo san so kabla hujaendelea mbele rudi upya darasan, tafuta mentor wa uwakika akufundishe soko na zingatia hutojua forex kwa kui_google.... Ni hayo tu.
 
au niachane nayo tu
 
Wakuu .

Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle.
Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)"
Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako.

Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana muda mtandaoni na nimejifunza mengi yaani sio kupoteza kwa ku enjoy kama ticktok hapana.

Hivyo nikaona ikiwa muda ninaopoteza nikiuweka katika jitihada za uzalishaji itaniletea faida.

Ni muda mrefu sana , nimeona biashara au fursa zifuatazo mtandaoni.

1. Hacking,
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijifunza bila kukoma kuhusu hacking na hata sasa kufanya phishing, password cracking nk .
sio case kwangu ila je ningewezaje kutumia knowledge hiyo kupata pesa. Niliwaza na nilijaribu njia nyingi sana lakini hakuna iliyozaa matunda.

2.Freelancing .
Online freelancing pia ni njia niliyojaribu mara kibao bila mafanikio, nina account freelance, upwork, shorttask nk. kupata clients ndio changamoto, ushindani ni mkubwa, ikiwa kazi imepostiwa natuma proposal lakini ni zaidi ya miezi sasa sijawahi pata deal zozote.

3. Survey.
Naishia kufanya survey tu lakini sioni pesa yoyote.

4. Dark web.
Kuna bidhaa nyingi sana zenye bei ndogo, lakini bado nina uoga wa kuanza kushiriki biashara huko.

kazi nyingi sana online nilijaribu lakini moja iliyonifanya niandike uzi huu ni .

5. Forex.
Niliona sio mbaya nikaanza kujifunza forex mwenyewe kwa usaidizi mkubwa wa Chatgbt kwa jina la copilot from Bing ambayo ndio ilikuwa kama rafiki yangu wa karibu , vitu vingi sana nilijifunza, hadi pale nilipoona forex sio complex kama ambavyo watu wanaichukulia yaani ni kutrade tu ( buy or sell)

Ila shule kubwa ni utajuaje mda sahihi wa kubuy or sell, nika combine mbinu kama RSI , stochastic, (hizi zilinisaidia kujua overbought and oversold pair) then natrade , lakini pia price fluctuations, candle sticks, resistance and support level. nk .
Nilkuwa nazitumia hizo kujua hatua inayofuata ya soko la forex kwa muda mfupi .

Sikujikita sana na fundamental analysis kwasababu hiyo niliona ni kama inawahusu wale traders wa kuweka order hata ya wiki au siku mbili sio sisi scalpers, hata nilipo hitaji nilitumia chatgbt kuniambia hali ya soko kwa muda huo.

Njia au technique hiyo ilikuwa profitable kwangu kuanzia kwenye demo account hadi pale nilipo loose.
baada ya kuhama demo account nili deposit $10, kwa kutumia strategy nilizo mention hapo juu nilikuwa nahakikisha napata $2 kwa siku , yaani nafanya trade zaidi ya moja kwa siku ila kwa technical analysis.

Nikaongeza $10 zingine ili nianze kuwa serious, lol! siku moja nikasema wacha niache nimeset trade nikaweka stop loss na TP lakini asubuhi nikakuta $6 tu sio kwamba soko lilienda kinyume namimi hapana, nilifatilia kilichotokea hadi nikamchek broker , nilikuja kufahamu ni slippage. dah!

Pesa iliyobaki nikaitrade kwa kutumia Bitcoin USD, alooh! yaani RSI na sto ipo above 95 , indicators zote kwamba soko litashuka ninazo , hivyo nika sell , ilikuja kupanda ghafla pesa yote ikazima
$20 zangu nilizodeposit ndio hivyo tena.

Wakuu kama title ilivyo naombeni msaada wa kimawazo .
Nenda Kalime acha Ujinga wa kudownload PESA ambazo wenzako wameupload.ONA sasa Wmedownload zako ulizoupload.
 
Mimi nikushauri katafute kazi ufanye kwanza huko unaposhinda online kunakazi za kila aina zinatumwa humo tafuta kwanza uwe na mchahara then jifunze kuwekeza taratibu la sivyo utalaumu bure dunia ya watu..
 
Back
Top Bottom