OkayI second you here here
Aamin afanikiwe katika biashara yake
Asante sana kwa mrejesho wakoUsiende kunua mchele moro nenda sehemu nyingine, kwa sababu, moro ushulu gunia moja la kilo 1000 ni sh 3000 tena hii ilikuwa bei ya zamani inaweza kuwa imepanda,
Ukitoa mchele mang'ula au ruaha kilo moja ni sh 10 usafili, kupakia gunia 700 kushusha gunia,1000, chukua ushuru ,3000 + 10000+1700=14700, hapo ni usafili tu, changamoto ya njia hii magali hayatoki hivyo usafili ni shida tofauti na mbeya au shinyanga, sehemu nyingine, kingine kabla haujanunua bidha ukiwa ndio unaanza biashara tafuta soko pili lile soko lifanyie upelelzi kwanza ufano unakwenda kushusha mchele tandika ofic ya fulani ile ofic ifanyie uchunguzi usije ukashusha mzigo wa milioni 10 ukalipwa milion moja kila mwezi mpaka pesa yako iishe , ulizia wanalipa vizuli? Mwisho kuwa makini sana na mzani wa kununulia na kuuzia hapa ndio pagumu unaweza pimiwa kule kilo 100 ikifika dar ukipima unakuta kilo 90 au 95
Hapo tandika kuna tajiri anaitwa Heke ni tapeli mkubwaUsiende kunua mchele moro nenda sehemu nyingine, kwa sababu, moro ushulu gunia moja la kilo 1000 ni sh 3000 tena hii ilikuwa bei ya zamani inaweza kuwa imepanda,
Ukitoa mchele mang'ula au ruaha kilo moja ni sh 10 usafili, kupakia gunia 700 kushusha gunia,1000, chukua ushuru ,3000 + 10000+1700=14700, hapo ni usafili tu, changamoto ya njia hii magali hayatoki hivyo usafili ni shida tofauti na mbeya au shinyanga, sehemu nyingine, kingine kabla haujanunua bidha ukiwa ndio unaanza biashara tafuta soko pili lile soko lifanyie upelelzi kwanza ufano unakwenda kushusha mchele tandika ofic ya fulani ile ofic ifanyie uchunguzi usije ukashusha mzigo wa milioni 10 ukalipwa milion moja kila mwezi mpaka pesa yako iishe , ulizia wanalipa vizuli? Mwisho kuwa makini sana na mzani wa kununulia na kuuzia hapa ndio pagumu unaweza pimiwa kule kilo 100 ikifika dar ukipima unakuta kilo 90 au 95
Njoo Mwanza Nina tani 3 za mchele na wadau kibao Bado Wana Stoo za mchele.Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele.
Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro.
Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu.
Natanguliza shukrani!
Asante mkuu kwa mwanza ni mbali sana kwangu considering kwamba nimeajiriwaKuhusu mchele nina uzoefu na Mbeya yote, pamoja na mpanda katavi. Ushauri wangu nenda zako mbeya uta nishukuru baadae ukiwa mbey nenda sehemu kati ya hizi zifuatazo. ( Igawa, Chimala, kamsamba, rujewa, kyela, ubaruku, mbarali. Utapata mchele safi na wakiwango. Kikubwa uwe na goal zuri hapa mjini.
Okay kwani frem Yako Iko wapi? Naweza kukuletea kutoka Mwanza.Asante mkuu kwa mwanza ni mbali sana kwangu considering kwamba nimeajiriwa
Hiyo iliwahi kunikuta dodoma nilipeleka choroko tani 27 jamaa akanilalia kwenye mzani yaani gunia nililopima kijijini kwenye mzani wa chama kilo 120 pale linatoka kilo 104 japo mwenyewe aliona kanipiga ila chakushukuru nilinunua kwa kila kilo shilingi 500 nayeye nikamuuzia 1170 kwahiyo nilipiga pesa tuUsiende kunua mchele moro nenda sehemu nyingine, kwa sababu, moro ushulu gunia moja la kilo 1000 ni sh 3000 tena hii ilikuwa bei ya zamani inaweza kuwa imepanda,
Ukitoa mchele mang'ula au ruaha kilo moja ni sh 10 usafili, kupakia gunia 700 kushusha gunia,1000, chukua ushuru ,3000 + 10000+1700=14700, hapo ni usafili tu, changamoto ya njia hii magali hayatoki hivyo usafili ni shida tofauti na mbeya au shinyanga, sehemu nyingine, kingine kabla haujanunua bidha ukiwa ndio unaanza biashara tafuta soko pili lile soko lifanyie upelelzi kwanza ufano unakwenda kushusha mchele tandika ofic ya fulani ile ofic ifanyie uchunguzi usije ukashusha mzigo wa milioni 10 ukalipwa milion moja kila mwezi mpaka pesa yako iishe , ulizia wanalipa vizuli? Mwisho kuwa makini sana na mzani wa kununulia na kuuzia hapa ndio pagumu unaweza pimiwa kule kilo 100 ikifika dar ukipima unakuta kilo 90 au 95
Hakuna sehemu yenye dhulma ya mzani kama tandikaUkienda jumua tandika ukiweza nenda na mzani wako..wakikupimia gunia likasoma kwenye mizani Yao kilo mia,lihakiki na kwako tena..
Utakuja nishukuru.
Sema brother waga unani'inspire sana kwenye comment zako, umenyooka na unaijua biashara upside down.Hiyo iliwahi kunikuta dodoma nilipeleka choroko tani 27 jamaa akanilalia kwenye mzani yaani gunia nililopima kijijini kwenye mzani wa chama kilo 120 pale linatoka kilo 104 japo mwenyewe aliona kanipiga ila chakushukuru nilinunua kwa kila kilo shilingi 500 nayeye nikamuuzia 1170 kwahiyo nilipiga pesa tu
Bosi samahn naomba mawasliano yk 0785392090Nipo Moro malinyi huku shamban kilo ya Mchele NI elfu moja Tu Yan buku tunanunua kitaa ,
Mm sio mzoefu Sana wala sio mwenyeji WA malinyi ila naambiwa gunia moja la Mchele ushuru NI elf5 , mwanzo ilikuwa elf3 .. kwa sasa hakuna njia ya kufika malinyi kwa gari , mafuriko yameharibu Barabara zote za kuingia malinyi , kama utakuwa interested kuja Malinyi ambako mpunga ndo unazalishwa unaweza kufanya research yako binafsi