Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Habari Za majukumu wanajamvu,

Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda .

Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10?

Nitashukuru kwa ushauri.

Asanteni
 
Kama mtu wa gambe, Fanya kumnunulua mwana wa faida wa maliasili eagle 2 kila siku, na wewe Nunua Husqvarna mbili, maisha yanaenda kimtindo .
 
Nunua tumbaku rejects za million 4-9 usindike ugoro wakutosha uje uteke soko temeke Sudan uwe ugoro cartel kwa mtaji huo wewe ndio utakua pusha mkuu wa ugoro kusini mwa jangwa la Sahara kiufupi we ndio utakua Pablo wa ugoro
 
Back
Top Bottom