biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini bidhaa za Uturuki zina bei?

    Habari, Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania. Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara

    Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo. Mimi nilikua na mawazo ma 2 La kwanza biashara ya mazao. Na la pili biashara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge. Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi...
  5. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni. Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
  6. JamiiForums Tanzania House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa biashara ya kufanya Zanzibar

    Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
  8. JamiiForums Tanzania Anahitaji mshirika kwenye Biashara

    Habari wapendwa, Kuna rafiki yangu (wa kiume) anahitaji mtu wa kumuonesha njia/kushirikiana naye kwenye Biashara Na maanisha anahitaji mtu anayefanya Biashara tayari na anayehitaji mtu wachangie mtaji (wakuze mtaji) wafanye wote. Ni mchapakazi (zote), muaminifu, Elimu kidato channe. Yupo...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara na imani za giza

    Marafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi. Mwengine akaja kuniambia katafute dawa ya mvuto wa biashara kuna mda najihisi kukata tamaa na sitaki kutumia miti...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

    "Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha Biashara ndogo ndogo

    Nauliza jinsi ya kuanzisha biashara ndogondogo sababu Sina mpango wa kuajiriwa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  15. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  16. JamiiForums Tanzania January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

    Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

    Anaandika Kenge Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka Kuuza la Nguo Kuuza Viatu Kuuza simu,charger,Makava kufuga kuku kuuza Nafaka KUuza...
  19. JamiiForums Tanzania Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  20. JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…