Biashara Yangu Inataka Kufilisika

Dr. Said

Senior Member
Nov 16, 2010
112
502
Hello wadau,

Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu.

Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini.

Naomba uangalie ikisha nipatie mrejesho wako? Do you think biashara ita survive au nitafute jeneza kabisa?


View: https://www.youtube.com/watch?v=-ZKJBO_CuWs
 
Back
Top Bottom