Smart codetz
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 190
- 753
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M.
Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam.
Dirisha lilopita.
Kwenye mkataba wa Feisal kuna kipengele kua kama atauzwa kwenda club yoyote ya ndani basi young Africans itanufaika kwa kupewa 1B za kitanzania.
Pia Feisal ana Bonus kila goli kumi atakazoifungia Azam Fc kwenye mashindano yote.
Atapewa 25M na Mshahara wake analipwa kama jeshi kati Kati ya mwezi (8M) na mwishi 8M huku akiwa na bonus ya 1M per game na 2M per big game achana na bonus za kufunga na Assit.
Kijana ilikua haki tu kuondoka Young Africans haya ni maisha.