Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,530
8,377
Citizenhttps://www.ke.co

Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024

Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita.

Hili imefahamika wakati wa kongamano la mtandao la Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) lililofanyika Mei 2024 lililohudhuriwa na Baraza la Wasafirishaji la Afrika Mashariki (SCEA) na Mamlaka ya Uratibu wa Usafiri na Usafiri wa Ukanda wa Kaskazini (NCTTCA) pamoja na Wakala wa Uwezeshaji wa Usafiri wa Ukanda wa Kati ( CCTTFA).

Usafirishaji wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam uliongezeka kutoka tani milioni 13.6 mwaka 2016 hadi tani milioni 24 mwaka 2023 mwakilishi wa CCTTFA Emmanuel Rutagengwa alidokeza

Wakati Tanzania imeweza kuongeza mzigo wake maradufu, Kenya imeona shehena yake ikiongezeka kidogo tu.

Katika Bandari ya Mombasa, ukubwa wa shehena uliongezeka kidogo kutoka tani milioni 33.88 mwaka wa 2022 hadi tani 35.98 milioni mwaka wa 2023.

Tanzania inatarajiwa katika siku za karibuni ni kufikia viwango vinavyobebwa nchini Kenya kwa kuwa imeshuhudia ukuaji imara licha ya kutoongeza miundombinu yake kwa zaidi ya muongo mmoja.

Tanzania imefanikiwa kupunguza muda wa kugeuka meli (turnaround) kutoka siku saba hadi 2.5 na muda wa kukaa mizigo (cargo dwell time) kutoka 22 hadi chini ya siku saba.

Zaidi ya hayo, muda wa kugeuza lori (transit rome) pia utarekebishwa kutoka saa 4.3 hadi 2.3 ili kuongeza ufanisi wa bandari.

Hii ni tofauti na Kenya ambapo muda wa usafirishaji wa mizigo uko chini ya malengo rasmi ya saa 40 kwa Malaba na saa 45 kwa Busia kutoka Bandari ya Mombasa.
.
 
Issue ni consistency ya kutoa mzigo kwenye Meli, kuuondoa bandarini, kuusafirisha kwa mteja, at a cheaper cost.

On a long term, a decade according to the report, Dar Port imefanya changes kubwa.

Kwa sasa iinabiditufanye hesabu. Ukiondoa mzigo wa Uganda, about 9m tons, mzigo wa Rwanda, about 2m tons, another 2m for S Sudan, DRC na Northern TZ, the rest is for the Kenya, a bigger economy kuliko TZ. Na Kenyan Economy iko kwenye corridor ya 'Lunatic Express', which means shorter distances. Bringing the Naivasha SGR decision, apart from the container turnaround costs and time, na nguvu ya truckers, Mombasa has more flexibility to improve performance over a short term.

But TZ has more potential for growth kutokana na changing internal economic development dynamics: viwanda, madini na raw materials, majirani wengi, bandari nyingi, etc.

If implemented, Bagamoyo SEZ ingekuwa inakaribia kumalizika, na ndiyo ilikuwa tishio kubwa kwa kila mtu, from Somalia to Durban.

Dar Port haiwezi ku sustain the expected increased throughput bila bandari yenye berth kubwa na more efficient operations. Dar haina berth innayozidi 350 metres, na mlango bahari ni changamoto.

Hii itaendelea kuwa issue. Bagamoyo ndiyo ilikuwa ufunguo wa hizo challenges.

Sustained improvement at Dar Port zitaendelea kuwa zinakuwa recorded mpaka kiasi fulani, say around 30m tons kwa mwaka, which could be the extreme port limit. Kutoka nje ya Dar Port for a serious mark as a maritime power, siyo option. Ni LAZIMA.

SGR na Tazara inabidi zi coordinate. But if the TAZARA dreams are to be realised, na kuondoa hype ya Lobito Corridor, lazima kuje serious bandari very soon. Hata ambitions za Bagamoyo lazima zirudi kwenye drawing board, ku reflect geopolitical challenges za Atlantic Ocean vs the potential ya Asia, through the Indian ocean, na kumfanya India asilete tension kwenye Indian ocean kutokana na ambitions za kibaraka za Modi kudhani kuwa kui contain China ina benefit kwa India on a long term basis.

Na Africa lazima iwe assertive kuhusu Indian Ocean as a free maritime Corridor.
jfour , Monomer , shadow recruit , PendoLyimo , imhotep , Sexless
 
Hata ambitions za Bagamoyo lazima zirudi kwenye drawing board,
Juhudi za kutaka kujenga bandari ya Bagamoyo bado zinaendelea, nadhani kikwazo ni kwamba bado hajapatikana mbia. Lkn taratibu nyingine bado zinaendelea.

Julai 2023 mpk January 2024 uhamishaji wa makaburi ulifanyika, ambapo eneo jipya lilinunuliwa na fidia ya makaburi ilitolewa.
 
Back
Top Bottom