Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

Ghaysh

Member
Feb 12, 2015
24
43
FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO
Kuifanya biashara kuwa nadhifu na ya kisasa
Kuitangaza biashara yako
Kuondoa uwezekano wa mteja Kuhudumiwa na mtu asiyehusika
Kuondoa uwezekano wa ofisi yako kuhusishwa na utapeli

KWA NINI UPRINT KWETU?
T-Shirt zetu ni imara na zinadumu kwa muda mrefu
Tunakupa option nyingi kwenye kuprint T-shirt
Gharama zetu ni nafuu na tunafanya kazi ndani ya muda
Tunauzoefu wa muda mrefu kwenye kuprint Nguo za aina mbalimbali

WEKA ORDER YAKO LEO
Tutakufanyia Design na kukushauri
Kabla ya kuprint tutakutumia mockup
Kwa T-Shirt nyingi tutaprint sample kwanza
Tutakufanyia delivery popote ulipo

HUDUMA ZETU
Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing.

Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu, Tunaprint na kukata kwa mashine za kisasa. Tunaprint mabox, viroba na mifuko aina zote.

Tunafanya Branding za aina mbalimbali kama vile Shop Branding(Sticker kwenye Maduka), Vehicle Branding(Sticker kwenye Magari),

Indoor & Outdoor Sign(Mabango ya aina zote) kama vile Flex & Frame, Light box, 2D Sign, 3D Sign na Neon Sign.

MAWASILIANO:
Simu: +255764638848 / 0784138848
Tunapatikana: Ndovu/Jangwani, Dar es salaam (Tanzania)
 

Attachments

  • video-output-157A4897-8BA8-482F-8B1E-73FE73387763.mp4
    87.8 MB
Hivi kwa mfano ukinitengenezea bango la 3D lenye jina kama hili hapa; TATE MKUU TRADING CENTER litanigharimu shilingi ngapi?
 
Karibuni
IMG_1437.jpeg
 
Back
Top Bottom