Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini?
Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta.
Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa mafuta wanaupiga vita mradi.
Je, wewe Mtanzania wa JF nn maoni yako?