Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

Optimists

JF-Expert Member
Oct 17, 2021
278
686
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.

Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini vilio ni vingi sana, nadhani nisipofanya maamuzi sasahivi nitaenda kua kama wao tu, hakuna kitakachoharibika,

Nina-acces ya kukopa million 15/20 NMB/HAZINA. Japo za hazina kuzipata ni ngumu mno, nawaza vitu viwili nikasome au nitafute biashara nifanye?

Course ambayo nimeplan kwenda kusoma ni bachelor degree in business statistics and economics nadhani kwamba nikimaliza hii naweza fukuzia na kufanyiwa re-categorization.

Vipi wakuu niendelee kushika chaki huku nikifungua biashara? Au niende kusoma TU?.
 
Kama una uhakika wa biashara unayotaka kufanya ni sawa, na uhakikishe umeshaisoma hiyo biashara na usianze na expectations za faida kubwa kwa siku, wiki au mwezi.....biashara inahitaji kukua taratibu kama ndo unaanza. Ila biashara ya kuanza kwa mkopo sasa😔😔....
Kusoma sasa! Kama unaipenda ajira nenda kwenye course za afya
 
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.

Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini vilio ni vingi sana, nadhani nisipofanya maamuzi sasahivi nitaenda kua kama wao tu, hakuna kitakachoharibika,

Nina-acces ya kukopa million 15/20 NMB/HAZINA. Japo za hazina kuzipata ni ngumu mno, nawaza vitu viwili nikasome au nitafute biashara nifanye?

Course ambayo nimeplan kwenda kusoma ni bachelor degree in business statistics and economics nadhani kwamba nikimaliza hii naweza fukuzia na kufanyiwa re-categorization.

Vipi wakuu niendelee kushika chaki huku nikifungua biashara? Au niende kusoma TU?.
Utachelewa .........
 
Bado hujawaza kwa ufasaha
 
Nimemuelewa, hakuna nyumba ya million 20, then kujenga nyumba ya kuishi no kuzika pesa.
Kama umepata business inayoeleweka chukya pesa fanya biashara na pia kama unaweza kuifanya bila kuacha kazi itakuwa nzuri zaidi.

Usikope ili ujenge nyumba tafadhali.

Pia kama hiyo masters unaenda kusoma ukiwa na connection kuwa ukimaliza utapata chaka la maana sawa ila sio kuisoma ndio uanze kutafuta mchongo. Siku hizi bila connection kutoboa ni ngumu.

Chukua loan, fanya biashara huku ukiendelea na kazi. Kama utafanikiwa katika biashara na kazi unayo utafurahia maisha.
 
Back
Top Bottom