Msaada mwenye uzoefu/utaalamu na biashara ya chakula(mama ntilie)

xixi

Senior Member
Feb 26, 2024
164
298
Habari zenu wapendwa,

Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.

Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf:
1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
2. Namna ya kutengeneza faida
3. Changamoto/ushauri na mambo yote ya jumla yanayohusiana na mama lishe.
Msaada tafadhali
 
Bado Mkuu
Nasubiri mwongozo wa kitaalam kwanza.
Mm naona vittu muhimu ch kwanza friji. Ili vyakula vikibaki vikae humo pia hii biashara inaendana na kuuza soft drinks

Ugali nyama choma au kichuli ni moja kati ya vyakula vyenye mvuto mkubwa zaid humo mahotelin. Eneo husika litadefine uuze plate kias gan na nn uzibgtie...

Mm naoa research ambayo ni field base ni nzur kuliko hapa wataalamu wengi wataongea kwa perceptions tu
 
Lipia bia 3 hapo kaunta nianze kumwaga madini hapa hivyo ndio ilikua family business
 
Ngoja tumuulize huyu jamaa
Intelligent businessman
Simu hizi mambo mengi kaka, ila kiufupi ata hitaji angalau meza za plastik tatu Kwa kuanzia.

Sufuria kubwa 2, na size ya kati Kama 2. Moja ya ugali, wali. Mdogo kwa ajili ya mboga mboga.

mahitaji ya watu ndo yata mjulisha awe ana pika kipi na kipi, Tena kwa size gani.

Maana huwezi,I pika chapati, kumbe wateja wana hitaji maandazi.

Tembelea mama ntilie wenzio, ujue Wana pata mahitaji eneo gani kwa Bei nafuu.

Maana faida huanzia Kwenye manunuzi, wenzio waki nunua mchele kwa 1700, wewe uka nunua kwa 2000, tayari Usha achwa kwa 300
 
Safi sana FB... Future Billioner
 
Bado Mkuu
Nasubiri mwongozo wa kitaalam kwanza.
Ukijua unataka kwenda kuuza wapi ndipo itakuwa rahisi kupata mchanganuo wa gharama na bei ya kuuza chakula pia. Location ina matter.
 
Unataka uuzie wapi?

Mm naona vittu muhimu ch kwanza friji. Ili vyakula vikibaki vikae humo pia hii biashara inaendana na kuuza soft drinks

Ugali nyama choma au kichuli ni moja kati ya vyakula vyenye mvuto mkubwa zaid humo mahotelin. Eneo husika litadefine uuze plate kias gan na nn uzibgtie...

Mm naoa research ambayo ni field base ni nzur kuliko hapa wataalamu wengi wataongea kwa perceptions tu
Asante kwa maoni mkuu..
Nitaifanyia kazi..
 
Back
Top Bottom