Biashara ya bidhaa kutoka China

Angalia hii kisha jifunze...ni kutoka Zambia
FB_IMG_1708660282542.jpg
 
Mimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M

Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee
 
mfano wa bidhaa ambazo zinawez kuuzika kwa harak ni zp?
 
Mimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M

Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee
ULIWEZAJE WEZAJE MKUU
 
Naomba ufafanue mnyororo wa mzigo kutoka kule mpaka huku Tanzania. Kodi, usafirishaji una kuwaje, una pokelea wapi hapa Tz Mkuu.
 
Tafuta bidhaa zinazotoka hapo kwenu kama airpod n.k

Then ingia alibaba weka oda

tumia ndege kusafirisha ili zifike fasta

promote facebook

kwa mtaji wako huo mdogo agizia airpod maana hizi kwa dar zinaenda sana utaingiza faida nzuri,au vifaa vya simu charge,usb n.k unauza jumla au rejareja

ungekuwa na kamtaji kuanzia laki tano ningekupa dili la kuagiza visub mita hivi vya kila mpangaji kujigalamikia mwenyewe umeme vinatoka sana dar na connection ya wateja ningekupa mimi maana ninao kibao shida nipo mbali na dar
 
vinauzwaje ivo
 
Habarini WanaJF,

Nina mtaji wa laki moja na elfu hamsini nataka niagize bidhaa KUTOKA CHINA. Je, ni bidhaa gani nikiagiza itanipa at least faida ya nusu ya mtaji wangu?

Napokea ushauri wenu

AsantenišŸ™
Laki na nusu halafu upate faida nusu šŸ˜‚šŸ¤£una wazimu Bora ingekuwa million na nusu acha kuota amka utakojoa.

Anza na Kariakoo kwanza kuna machimbo ila ujue kwanza unataka nini unaenda chimbo wanunua kitu wauza mtandaoni ukiaminika unapewa mzigo mali kauli ukiuza wapeleka pesa ya watu.
 
Back
Top Bottom