biashara

  1. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  2. Muxt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya lodge

    Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  8. GITWA

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

    Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni; 1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa 2. Nawezaje kupata mfumo wa betting 3. Leseni yake inapatikanaje 4...
  9. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
  10. ubongofaida

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Company Profile?

    Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji. Ninaweza kukusaidia kuunda Business/Company profile bora itakayovuta wateja wapya, kuimarisha uhusiano na washirika wa biashara, na...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  12. John_Anthony

    JamiiForums Tanzania Biashara zinazolipa mipakani Tanzania na Zambia

    Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali tuelimishane kama kuna tahadhari zozote au kuna points muhimu za kuzifahamu naomba tufamishane...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni vipengele gani vya kimkataba vinapaswa kuwekwa unapompa mtu asimamie biashara yako Ili upate faida?

    Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa? Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi? Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida...
  15. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao Oman

    Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week. Kama unafanya kazi kwenye Kampuni za Ndege hasa zinazoruka direct toka Dar es salaam to Muscat, au unafanya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo) Ni aidha jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako Anataka uhame atawale soko hio sehem Anataka kukutia adabu /...
  18. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Taarifa za Fedha za Biashara

    Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika. Utangulizi. Katika biashara...
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania BIASHARA; MLANGO WA ALUMINIUM Mita 3.5 Urefu x Mita 2.5 upana; Nipo Buguruni. 0710782874

Back
Top Bottom