Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu,

Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta.

Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano.

Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali shamba lilipo. Whatsapp 0656388678
 
kibanda1.jpg
 
Back
Top Bottom