biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kuanzia kwenye biashara ya accessorie unaweza kuwa kiasi gani?

    Jaman naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu Wa biashara ya accessories nilikuwa naomba kujua mtaji wake wa kuanzia accessorie ipi inatoka zaid na zipi mzunguko wako ni mlefu na mengine mengi nisiyoyajua kuhusu that business
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya kahawa Kagera yafikia Tsh. 4,100, shangwe kila kona ya mkoa

    Na Bwanku M Bwanku Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa. Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
  6. JamiiForums Tanzania BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye biashara wahalifu hawapo mbali, uliwahi kupigwa tukio gani hutasahau?

    Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho. Nakumbuka kuna kipindi kulijengwa frem mpya mahala, nikaona ile sehemu kwa jinsi ilivyochanganya nichukue frem, niliweka...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE WASHER MPYA ni KUANZIA 650,000 TU, Hiyo ni ya Petrol Na inakua Complete.. za UMEME ni kuanzia...
  9. JamiiForums Tanzania Unawezaje kusimamia biashara yako iliyo mbali na wewe?

    Habari wana JF, Naomba ushauri ni teknolojia gani naweza kutumia kwenye biashara yangu, hususani duka, ili kudhibiti uendeshaji na Maputo kiujumla, ikiwa nipo mbali na hiyo biashara siwezi kutembelea mara kwa mara.
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo: 1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa kuchimbisha wala kununua mawe labda yawe makali sana yanayoweza kunirudishia gharama. 2. Ningependa nje ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uache biashara uliyonoyo hadi na madeni utapoteza kiasi gani?

    kwa hiyo kazi yako unayoifanya ukaambiwa kesho uachane nayo na kila kitu ni kiasi gani cha pesa chaweza kuwa nje kwenye madeni? mm haivuki laki mbili.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
  14. S

    JamiiForums Tanzania Application za mikopo onine: Wapinzani tupieni macho hili jambo, huenda ni biashara ya vigogo serikalini na inaweza kuja kuwa kashfa kubwa

    Wapinzani, nawashauri mfanye uchunguz kuhusu hizi App hasa kujua wamiliki wa hizi applicatio za mikopo. ya online ambazo zinatumika kutoza riba kubwa ndani ya muda mfupi tena wakitumia ligha za vitisho na hata kudhalilisha wateja wao wanapochelewa kulipa kwa wakati. Katika hii biashara, kuna...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

    Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoomba ushauri wa biashara wakipata mtaji huwa wanafeli kwasababu hawana ujuzi wala connection.

    Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Vitengo vya masoko vya mashirika ya umma na binafsi visimamiwe na wasomi kutoka jamii za wanaojua kuendesha biashara Ili kuongeza ufanisi

    Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

    Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini? Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara? Nahitaji ushauri 1. Biashara ikoje? 2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora? 3. Wateja ni kina nani hasa? 4. Faida yake
  19. JamiiForums Tanzania Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika ndani ya miaka 25 kwa lengo la kukuza uchumi

    TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI. UTANGULIZI Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa na Nchi nyingine nyingi upande wa Kaskazini, Magharibi na Kusini ambazo kwa miaka mingi zimekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…