biashara

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  2. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye biashara ya vitenge niwe nachukua mzigo Kariakoo naenda kuuza mikoani

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza. Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi? Mchango wa mdau
  4. Thread Starter

    JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50 1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku Kwenye kilo moja unaweza toa...
  5. size 96

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuni

    Kama nilivyo eleza juu apo naomba kujuza kuhusu biashara ya kuuza kuni kwa Dar vibali changamoto na soko lake kiujumla.
  6. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    Biashara ya chakula ni moja ya biashara nzuri na yenye faida na inayoweza kukutoa from zero to hero ndani ya mwaka wako mmoja tu ukikomaa ipasavyo kazini kwako, lakini ili ikutoe kama inavyotoa wengine ni lazima biashara yako iguse wateja wote bila kubagua. Biashara nyingi sana hapa mjini...
  7. Majigo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Wabongo Hawatumii Consultants vizuri ndio maana wengi wanafeli kwenye biashara

    Kwanza nianze kwa kusema kwamb mimi ni msahuri mwelekezi wa Kibiasha kwa wajasiriamali wadogo na wakati hasa wanaofanya biashara zneye Mtaji au annual turnover ya kati yz TZS 10,000 hadi TZS Milion 500. Nimebahatika kufanya kazi na wajasiriamali wengi na nikagundua kwamba Wajasiriamali wengi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 12 inauzwa Tabata; wahi tufanye biashara

    Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo na hakuna mgogoro wowote. BEI NI MILIONI 85. MAELEWANO YAPO. Picha nitatuma whatsapp maana hapa...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

    Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa kuisajili.Tutakupatia huduma zifuatazo kwa Gharama nafuu: Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara...
  11. lup

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao watakuwepo Nanenane Mwanza 2020 tupeane uzoefu na biashara na utauza nini

    Habari za asubuhi, Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa...
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tunauza program ya kusimamia biashara yenye matawi

    Kama wewe una biashara yenye matawi, hii ni habari njema kwako. Hizi ni zama za kidigitali, Business Digitalization Solution, tumekuja na program unayoweza kutumia kwa simu au computer ambapo taarifa za mapato na matumizi kutoka kila tawi utaweza kuziona kila zinaporekodiwa ukiwa popote. Program...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Dhuluma za wauza machungwa

    Habari za asubuhi, Ni kitambo sijafanya mambo humu jukwaani, mwenzenu nilikula block na nimejifunza 😎😎😎. Kuna ubadilifu mkubwa sana unafanywa na wauza machungwa, either kwa makusudi au kutokana na ujinga wa mambo ya uwiano. Hili jambo lapaswa kujadiliwa kwani madhara yake ni makubwa mno, kama...
  14. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Tujifunze biashara kidogo

    Haya mambo sidhani kama yanafundishwa darasani. Hii ni street knowledge, real life situations ambazo zinatufunza mengi. Sasa kuna matukio mawili hapa ya kibiashara, naomba mwenye jibu la mojawapo au yote anipe. 1. MOJA TZS 3,000/=, MATATU TZS 10,000/=. Mzee mmoja pale Magomeni Mapipa anauza...
  15. Patriot

    JamiiForums Tanzania Biashara katika Siasa na ajira ya Serikali katika Siasa

    Nimesikiliza kilio cha waajiliwa wa serikali walioonesha niya ya kutaka kugombea nafasi ya Ubunge baada ya kujikuta wanakatiwa mshahara wa mwezi July. Serikali iko sahihi maana kuna mwongozo wa aina hiyo. Tatizo ni kwa nini serikali iliweka mwongozo wa kibaguzi aina hiyo? Yaonekana serikali...
  16. Franky

    JamiiForums Tanzania Biashara ya butcher ya nyama ya ng'ombe

    Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu. Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe mzima mwenyewe kwenye minada na kuchinja. Location: Morogoro Ifakara. Budget: million 4
  17. H

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote. Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...
  18. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria?

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  19. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  20. Bhbm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA Haijalishi watu ni masikini kiasi...
Back
Top Bottom