biashara

  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  2. L

    JamiiForums Tanzania LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

    Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business Administration ya Mchongo. Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako.... Wapo wengi...
  4. Jack_tshirt_point

    JamiiForums Tanzania Nauza chumba cha kufanyia biashara Katoro-Geita

    Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa kwahy nina uzoefu mkubwa sana,mambo kadhaa kufahamu kabla hujaanza kufanya biashara hii ni; 1. lazima...
  5. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025

    Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000 Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000 1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000 2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000 Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000 Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  8. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  9. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  10. E

    JamiiForums Tanzania Fanya Biashara Kidigitali

    Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako. Huduma izo ni kama; => Product Label & Packaging Design => Product Ads Design =>...
  11. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kauli hizi za bodi ya nyama ni viashiria vya kutaka kuua biashara ya Mr. Manguruwe

    Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  14. Billie

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
  15. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe. Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na...
  16. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Naombeni tenda za kutengeneza madirisha na milango WanajamiiFroums

    Signed Out Forever
  17. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

  18. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  19. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
Back
Top Bottom