Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,517
Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa

Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote!
Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza
Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe
Nika mbana yule dem si ndio aliniambia wife ndio alimwambia aisee ilikua balaa
......ila baadae waliishindwa na baadae ikawa sio deal tena
Ila nilijifunza..
Sa hivi code yangu ni yangu!
 
Mkuu,

Very true Mimi mwenyewe sitoi CODE dats why siandikagi humu how to KICK LIFE & ODDS

Muda flani najionaga kama mbinafsi ivi ila acha iwe ivyooo
☺️😊😊
 
Back
Top Bottom