Biashara ya parachichi Hass

Habari za Leo wakuu..
Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi?
Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar.
Shukran
Bei ya shambani ni Tshs 1700-1900 Kwa kilo bei ya usafiri ni million 3 toka njombe Kwa semi sijajua kama ni kwa kuexport ama laah kama ni hivyo unahitaji refrigerated container . Na kama unachikua container nzima unachukulia kwenye magodown Sio shambani huko sijajua bei ni Tshs ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom