biashara

  1. R

    Ushauri kuhusu biashara yangu

    Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
  2. INAUZWA Makambako, Njombe: Photocopy mashine Xerox 4265

    Photocopy machine xerox 4265, inauzwa IPO makambako-njombe. Simu 0676775220
  3. Ni muhimu kufundisha watoto biashara yako tangu wakiwa wadogo, Wahindi hili wameliweza

    Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba yao ya ghorofa. Chini ndiyo ilikuwa ofisi na juu waliishi wenyewe. Niliwafahamu zaidi wale watoto...
  4. K

    Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  5. Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  6. Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
  7. Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  8. Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  9. Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Salaam wanajukwaa, Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
  10. M

    SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  11. Naomba ushauri: Nimechoka kusoma nataka kumiliki biashara yangu

    Mimi ni mwanafunzi ambae namalizia elimu yangu ya biashara CBE ila kwa sasa siitaji tena kuendelea na masomo naitaji kuanzish biashara yangu binafsi na biashala ninayo taka kufanya ni biashara ya kuuza nguo za mtumba za kike japo sio mala ya kwanza kufanya hii biashara ila kwa sasa nataka...
  12. Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa Milioni 3. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k. KARIBUNI.
  13. Samatta atokea front page ya Daily Mail Sports, gazeti linaloheshimika Uingereza

    Mzuqa, Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake. Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia...
  14. Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  15. K

    Biashara katika Jiji la Copenhagen na miji ya jirani

    Habari za leo waungwana. Naomba kuuliza, mtu akiwa na mtaji wa DKK 150,000 anaweza kufanya biashara gani katika jiji la Copenhagen au katika miji ya pembeni katika nchi ya Denmark? Asante
  16. Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu?

    Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu? Hiki kitu nimekiona muda na huwa najiuliza kama ni soko huru kila mtu anafanya awezavyo ilimradi kodi iende kwa wahusika. Kumekuwa na muingiliano wa kibiashara kwa makampuni makubwa, mwanzo kulikuwa na malalamiko ila Regulators hawakutaka...
  17. Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  18. K

    Ushauri kwa wenye vibanda vya biashara katika miji mbalimbali hapa nchini

    Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya kuungua kwa vibanda katika maeneo mbalimbali hapa nchini na kupelekea wamiliki kupata hasara kubwa na kuwaingiza katika umaskini mkubwa. Binafsi nina ushauri kwa Serikali kama mamlaka na wenye vibanda husika. (1) Serikali ihakikishe kuwa ni sharti kila...
  19. Umuhimu wa Strategic Planning katika Biashara

    Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na mikakati ya namna ambavyo unataka kufikia malengo hayo. Katika kuandaa malengo hayo unapaswa...
  20. O

    Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…